Kigezo kilikuwa SPEAKER MWANAMKE, siyo MWENYE UWEZO WA KUONGOZA BUNGE!
umeona ee! haya ndo madhala yake
Kigezo kilikuwa SPEAKER MWANAMKE, siyo MWENYE UWEZO WA KUONGOZA BUNGE!
Mkuu Mzee Mwanakijiji,
Kuna siku nilichambua kanuni humu baada ya Mhe. Speaker kukasirika na kuamuru hakuna cha muongozo wa spika wa cha nini, bunge linaendelea!. Nakauli mamlaka hayo ya kuzuia muongozo wa spika, huyu mama anayapata wapi?,
Sikujibiwa!.
Juzi mbunge ametoa hoja binafsi, kwa kanuni za bunge, serikari inatakiwa kujibu hoja, waziri anasimama anatoa hoja ya kuiwithraw hoja ya mbunge!, spika anaridhia!. Kwa mujibu wa kanuni, hoja ikishakubaliwa, mwenye mamlaka ya kuiondoa kabla haijajadiliwa ni mbunge mtoa hoja only!, no one else!.
Tangu mama Makinda anachaguliwa, nilikuwepo Dodoma!, nilipost hii kitu, Bunge la 10: A Wrong 1st Step!, A Wrong 1st Start! . Press Conference yake ya kwanza nilihudhuria, na nilimuuliza kuhusu kupigiwa upatu wa nafasi hiyo na kumtajia waliompigia upatu huo, akawaruka!, Spika Makinda Press Conference Live!.
Sio mara moja wa mbili, Mhe. Spika amejidhihirisha her ignorance on kanuni, kitendo cha kuzifuta hoja zote binafsi, ni uthibitisho wa udhaifu wake kuendesha bunge, hivyo kwa kifupi, Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Makinda (MP), ameshindwa Kazi!.
When she was picked to top kutokana na "alichonacho", CCM thought that she was an "asset!", now she has proven beyond reasonable doubt that she is a not an asset anymore but she is a liability waiting for disposal!. Kama kawaida yao CCM watagangamala naye, this makes the 2015 job more easier!.
Pasco.
...........................................>
Madam Speaker,
I ended my note by saying that "You were not sworn to "defend or protect" the Constitution of your ruling party nor to protect the interests of few individuals or a group of people but the Constitution of Our Republic."
Madam Speaker, you have done exactly what some of us feared; you have become and continued to be your party's cadre trying to defend the indefensible while at the same time trying to destroy the indestructible. Madam Speaker, political opposition in the country is here to stay; mtake msitake!
It doesn't matter what you or any other member of your party wish; it doesn't matter if the whole caucus of your party decide to do against opposition members of parliament; it really doesn't matter. You party has tried and it has failed and it will continue to fail as long as free people continue to think for themselves. You can try to remove political opposition in the House, but you cannot remove opposition from the people's hearts. [Your] party will never return to its former glory; it can't. You should know that by now.
THE ORIGINAL CONGRATULATION MESSAGE HERE
na cha ajabu zaidi, pamoja na udhaifu anaoonyesha wanaccm bado wanaendelea kukubali na kulinda anayoyafanya!Kigezo kilikuwa SPEAKER MWANAMKE, siyo MWENYE UWEZO WA KUONGOZA BUNGE!
She was elected/selected solely for the purpose of defending the Government in the Parliament. Some of us thought that she would be clever to change and just do her job properly, given that she would be a speaker for only one term. Our leaders are not there to make a legacy to the country, but to make their masters and mistresses happy. She is going down in the history as one of the worst speakers not just in TZ, but probably in the whole region!!
Mzee mwanakijiji,
Condemning speaker, as an individual do not reflect truth of the matter, she's just a decoy of CCM. If anything needs to be resigned or removed should be CCM authority, a draconian rule manifesting itself under various faces. Once CCM is unseated all the cohorts system, can be emptied away. Down with CCM. It's very important, for all who are tired with CCM machinations, to support opposition, we cannot remove CCM individually, but through a cordinated leadership.
I think it is a high time as Tanzanians to stand up on feet and bring to an end this non sense otherwise the principles of separation of power will be eroded for good. Anna Makinda has proved failure to uphold this principle and the best way in my view is to exert public pressure. Let us start media campaign, demonstrations etc to force her to resign and to embarrass the executive wing of government!