Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

Wanajikutaka wanajua sana kilimo lakin ukweli ni kwamba madalali ndo wanaolalamika
Mfano kuna dalali nilikua naongea naye juzi mwaka jana kila trip moja ya kenya anakua na faida ya million 10 mipaka ikifungwa kwanin asilalamike
Hahahah kila trip million 10 hata mimi ningelia 😀😀😀
 
Huyu jamaa hajui kitu. Yeye anadhani bei inapandia shamba. Shamba anakuja dalali tu. Leo anauza mahindi kilo 800 kesho yameisha analetew unga kutoka mjini anauzia 2400 kilo na hela yenyew alikunywq ulanzi kipindi anasherehekea mavuno. Anarudi Tena kulaumu serikali
huo ndo ujinga wa kuudhibiti, dalali wakija 10 kijijini wanapandisha bei na sio lazima mkulima auze siku hiyo hiyo
 
Samia shikilia hapo hapo mbwa Hawa walikuwa wanakutukana kucha kutwa wakati umeruhusu mazao kwenda Nje na bei kuwa Juu..

Mbona Mwendazake hamkuchukia na bei za mazao zilikuwa za kutupa? Anawalinda Wanyonge,Wanyonge si ndio wenye nyie au? 😁😁

Mumewe akimpenda inatosha wewe ongeza juhudi za kumchukia.

Dalali wa Wakenya fuata utaratibu

hili tangazo ni sahihi sana na ni kweli lazima wanunuzi wawe na vibali halali , shida ni wiki hii Tarakea wamezui hata wenye leseni halali
 
Wananchi wanafki sana. Hivi unajua mkiuza chakula nje Cha ndani kisipotosha mtaenda kukinunua Tena? Mnajua mtauziwa kias gan?
Na mauza nje, chakula Cha ndani kikapanda bei unajua kama hakitashuka na mpaka mbegu zitapanda?
SAWA KABISA NDO VYEMA ILI ICHOCHEEEE WATU KUWEKEZA KNYE KILIMO
 
Tuna Rais mwenye uelewa mdogo sana mnamtesa tu kuendelea kumpa majukumu.
 
Ningekuwa dalali sawa tena ningeficha tu store mbona kitapanda tu keshokutwa
Weka stoo Mkuu, subiri yapande utauza tu. Hili la kuzuia uuzaji holela wa chakula nje ya Nchi tena Kwa wageni kwenda mashambani wenyewe na kuweka vibarua Lina athari kubwa Kwa nchi. Mimi Muda mwingi Niko wilayani huko mkoa wa Iringa na nasafiri mara nyingi kwenda vijijini. Nawaona wakulima wanavyosumbuka ikifika mwezi August tu. Mtu aliuza mahindi debe 8000 yakiwa shamba, mwezi August/Septemba ameishiwa anaanza kununua Debe 30000 na faida mnayodanganya aliipata mkulima haionekani. Matokeo yake wanaanza kulalamikia chakula cha msaada toka serikalini.
 
Kwanini wauze chote si auze kiasi na kingine ahifadhi
 
Back
Top Bottom