PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,291
- 30,516
Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
Siku mbaya sana kwa jamaa. Na hapo ameshaliwa hela yake kwa matumizi ya msosi, vocha, nauli, kusuka n.kMitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwaoView attachment 2973577
Jamaa ni mmbishi sanaaaSiku mbaya sana kwa jamaa. Na hapo ameshaliwa hela yake kwa matumizi ya msosi, vocha, nauli, kusuka n.k
Asa hao watu wakisombwa na mafuriko watamlaumu nani, si wasubiri maji yapungueMitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwaoView attachment 2973577
Wakati kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, umeme umekuwa mwingi kuliko matumizi? Unadhani ni legacy ya nani hiyo?Niko kwa MANING NICE ndio kwanza tumeipita RUFIJI hakika MAGUFULI alikuwa laana juu ya nchii....kuna maji mpaka unahisi kuwaona mamba kwa uoga
Magufuli ndo kaleta hii mvua mkuu? Nyie si ndo mlisema mvua hazitanyesha sababu alikata miti milioni 2 😂Niko kwa MANING NICE ndio kwanza tumeipita RUFIJI hakika MAGUFULI alikuwa laana juu ya nchii....kuna maji mpaka unahisi kuwaona mamba kwa uoga
Chezea uhanga wewe!Asa hao watu wakisombwa na mafuriko watamlaumu nani, si wasubiri maji yapungue
Huku ni wapiMitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwaoView attachment 2973577
Umemaliza kiongozi ...Magufuli ndo kaleta hii mvua mkuu? Nyie si ndo mlisema mvua hazitanyesha sababu alikata miti milioni 2 😂
Mafuriko yako pande nyingi za nchi, huko Arusha pia sehem nyingi ni vilio. Karatu wanakuambia mafuriko ya mwaka 1977 ndo yamerudi hivi sasa, Dar hii hii yenyewe ina mafuriko, majirani zetu hapo Kenya nao ni vilio watu wanaishi juu ya mapaa kama kunguru.
Huko Rufiji kama sio bwawa hali ingekuwa mbaya zaidi ya hapo.
Hii Villa Lodge ipo wapi mkuu.Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwaoView attachment 2973577
UH++++Chezea uhanga wewe!
UDSMUH++++
neno hili ulilikuta wapi? nitakwambia origin yake na essense yake
Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwaoView attachment 2973577
Exactly, at one time kulikuwa na kijana mmoja anaitwa Uhanga. Alikuwa na nyege sna (ashukumu si matusi, samahani) na kutafuta wanawake sana ie na uhitaji wa ngono mkubwa sana. basi kipimo cha nyege kikawa UH, UH+, UH++ and UH+++.UDSM
Hawa hawana tawi hapa nnchini kwetu