Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

Wakati kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, umeme umekuwa mwingi kuliko matumizi? Unadhani ni legacy ya nani hiyo?
Mkuu,

Hilo bwawa limefanyiwa kazi na Watanzania wengi sana tangu uongozi wa rais Nyerere. Kwa nini tunapenda tabia ya kumkuza mtu mmoja?
 
e

Exactly, at one time kulikuwa na kijana mmoja anaitwa Uhanga. Alikuwa na nyege sna (ashukumu si matusi, samahani) na kutafuta wanawake sana ie na uhitaji wa ngono mkubwa sana. basi kipimo cha nyege kikawa UH, UH+, UH++ and UH+++.
Mzee Punch alikuwa anawaanika watu kama hao kwa kuwachora maana simu za leo hazikuwepo kupata picha ya mtu au ku google! Mzee Punch alikuwa anatoa warning kuhusu temparing na publication zake kwenye sacred wall pale Manzese cafeteria! People were warned NOT TO TEMPER WITH MZEE'S PUBLICATIONS OTHERWISE YOU WILL FACE THE CONSEQUENCIES
Elephantiasis (Makamu mwenyekiti wa Daruso) na Asha Mtwangi sijui wapo wapi, walipitiwa na Mzee Punch
 
Maji yameenda kutembelea nyumbani kwao
1714136773579.jpg
 
Back
Top Bottom