Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,434
- 13,757
Bro Mshana, ww una recommed gari gani kwa budget ya 20 to 30M..?
Chukua hiyo gari kwenye avatar yako! 1kz ni mwendo mdundo
Bro Mshana, ww una recommed gari gani kwa budget ya 20 to 30M..?
Kwa kifupi, achana na kufanya modifications zozote kwenye wiring ya Nissan yoyote...
Haswa haya matakataka yanaitwa Android radio...
Mataa ya rangi rangi ndani mwngine yanawekwa mpaka chini ya siti..
Klugger the bestBro Mshana, ww una recommed gari gani kwa budget ya 20 to 30M..?
Mimi nadhani tatizo sio gari bali watakuwa mafundi wetu. Wakishacheza na umeme kwa kufunga sijui madude gani humo kwenye gari kama boosters na mambo mengine watakuwa kuna namna wanavyofunga kienyeji na hii migari ya umeme ndipo tatizo linaanzia hapo. Haya ni mawazo yangu yanaweza yasiwe kweli.Ni katika muendelezo ule ule wa Dualis a.k.a sigala na vayolensi za moto, nakuletea nyingine hii ni DXF imelipuka huko iliko lipukia. Ifike mahali hizi gari na kuwaka moto zimalize tofauti zao. Ni dualis ya 6 inawaka moto katika nilizo wahi kusikia.
Nadhani hizi gari zina shida katika mfumo wake wa umeme, kwamba mfumo hautaki iwekewe kitu chochote ambacho ni after market kuanzia balbu, honi, alarm, mziki, GPS, au modification yoyote itakayo gusa component ya umeme.
Tuendelee kujifunza tabia za hii gari, ila ki ujumla hii siyo gari reliable kwa sasa ya kuweka milioni zako, huyu mwali atakutia hasara. Hapo nimecheki nimeona ina bima Comprehensive, lakini nijuavyo mimi mashirika ya bima ya bongo, dana dana zitakuwa nyingi sana na kusubiri hela hadi uchoke, ama akalipwa kidogo au asilipwe.
Na itafika wakati hata mashirika ya bima watakataa kuzikatia dualis kwa hii changamoto ya kupenda moto kama sigara.
View attachment 2559323
Bro ukitaka android specific ya gari yako, ipo!.
Shida watu wanapenda vitonga, Radio ya gari kama BMW e90 bei yake siyo chini ya 1m mpaka unaiclear airport.
Hata atakayeleta atauza sh. ngapi na watu wangapi wataafford?
Kukumba redio specific ya gari yako haina hayo mambo ya kukata wire, Ni kutoa iliyopo na kupachika mpya.
Mtu anaona bora akafunge radio ya bei chee.
Hiyo bMw nimetoa tu mfano lakini gari kama toyota subaru bei haifiki huko japo ni gharama ukilinganisha na universal.
Kitu kingine.
Gari yoyote wametoa room ya kufanya modification, Ndio maana fuse box inakuwa na space ambazo zimeachwa wazi kwa ajili ya fuses na relay kama modification utakayofanya itakuhitaji utumie wiring ya gari.
Kitu kingine, fuse box inakuwa na space kwa ajili ya fuses na relays in case kama mtu anataka kufanya modification na atatumia wiring ya gari.
Pia kwenye kufanya modification, mtu akichukulia umeme kwenye main supply hamnaga shida. Ground achukulie kwenye body.
Pia kwenye kuunganisha wire, mtu akichubua wire anaziviriga na mikono anatengeneza weak links kwenye mfumo wa umeme hivyo ndio vyanzo vya moto.
Kwanini mtu usitumie Crimping pins kama hizi?
Mambo mengine ya kujitakia.
Hivi kwani ni lazima kufunga hayo makolokolo? Mbona gari zina kuja na vitu standard tu? Kuna hizi radio za android imekuwa kama fashion sasa kila mtu anataka aweke hata kama gari ina redio yake nzuri tu, stupid kabisaMimi nadhani tatizo sio gari bali watakuwa mafundi wetu. Wakishacheza na umeme kwa kufunga sijui madude gani humo kwenye gari kama boosters na mambo mengine watakuwa kuna namna wanavyofunga kienyeji na hii migari ya umeme ndipo tatizo linaanzia hapo. Haya ni mawazo yangu yanaweza yasiwe kweli.
Mimi nadhani tatizo sio gari bali watakuwa mafundi wetu. Wakishacheza na umeme kwa kufunga sijui madude gani humo kwenye gari kama boosters na mambo mengine watakuwa kuna namna wanavyofunga kienyeji na hii migari ya umeme ndipo tatizo linaanzia hapo. Haya ni mawazo yangu yanaweza yasiwe kweli.
Kuna moja niliona jamaa kaitia hizo taa hadi kwenye legroom tena ni zile taa za marangi rangi Aiseee watu tunapishana interest modification nayowezafanya labda kubadili seat cover. Hayo mengine sjui kupimp mara kuweka maspoiler hunikuti. Au labda na uzee nao unachangia (kidding)Kwa kifupi, achana na kufanya modifications zozote kwenye wiring ya Nissan yoyote...
Haswa haya matakataka yanaitwa Android radio...
Mataa ya rangi rangi ndani mwngine yanawekwa mpaka chini ya siti..
Chukua Mitsubishi Outlander 2011 na kuendelea hata za kuanzia 2006-2009 ziko poa ila kama bajeti yako iko vyedi kamata ya kuanzia 2011.Bro Mshana, ww una recommed gari gani kwa budget ya 20 to 30M..?
Mwaka 2021 kama sijakosea mwezi Machi pikipiki yangu iliwaka moto yote, source ya moto ni kuwa fundi alikuwa anarekebisha compression.Mkuu pertoli hiyo bora hata disel unaweza sema umwagie mchanga kabla ya kuchanganya yaani ukisogea tuu moto ukienda kwenye tank ni bomu.
We jamaa unajua sana basi tu ni vile uko darisalama. Nyie watu wa Dar mtumieni huyu mtaalamu kufanya hizo modification hamtojuta.Bro ukitaka android specific ya gari yako, ipo!.
Shida watu wanapenda vitonga, Radio ya gari kama BMW e90 bei yake siyo chini ya 1m mpaka unaiclear airport.
Hata atakayeleta atauza sh. ngapi na watu wangapi wataafford?
Kukumba redio specific ya gari yako haina hayo mambo ya kukata wire, Ni kutoa iliyopo na kupachika mpya.
Mtu anaona bora akafunge radio ya bei chee.
Hiyo bMw nimetoa tu mfano lakini gari kama toyota subaru bei haifiki huko japo ni gharama ukilinganisha na universal.
Kitu kingine.
Gari yoyote wametoa room ya kufanya modification, Ndio maana fuse box inakuwa na space ambazo zimeachwa wazi kwa ajili ya fuses na relay kama modification utakayofanya itakuhitaji utumie wiring ya gari.
Kitu kingine, fuse box inakuwa na space kwa ajili ya fuses na relays in case kama mtu anataka kufanya modification na atatumia wiring ya gari.
Pia kwenye kufanya modification, mtu akichukulia umeme kwenye main supply hamnaga shida. Ground achukulie kwenye body.
Pia kwenye kuunganisha wire, mtu akichubua wire anaziviriga na mikono anatengeneza weak links kwenye mfumo wa umeme hivyo ndio vyanzo vya moto.
Kwanini mtu usitumie Crimping pins kama hizi?
Mambo mengine ya kujitakia.
Vijana wanadandia kilakituKuna moja niliona jamaa kaitia hizo taa hadi kwenye legroom tena ni zile taa za marangi rangi Aiseee watu tunapishana interest modification nayowezafanya labda kubadili seat cover. Hayo mengine sjui kupimp mara kuweka maspoiler hunikuti. Au labda na uzee nao unachangia (kidding)
Na kuna raba fulani wanaweka kwenye milango, ha ha mi hizo mambo ndio mbali mbali kabisa.Vijana wanadandia kilakitu
Mimi sina gari ila nashangaa baadhi ya vitu wanavyofunga wenye magari sijui wenge sijui ushamba...Na kuna raba fulani wanaweka kwenye milango, ha ha mi hizo mambo ndio mbali mbali kabisa.
Ipo siku utakua nalo mkuu usiwaze cha muhimu ni mipango na focus hakunaga maajabu.Mimi sina gari ila nashangaa baadhi ya vitu wanavyofunga wenye magari sijui wenge sijui ushamba...
Mwingine anatoa Rim kali imekuja na gari anaweka la mchina
Walioitengeneza wameacha room ya modification.Gari ukitumia kama ilivyotengenezwa
Sawa lakini kwa vitu vya msingi sana mfano security systems!! Napo inashauriwa kuepuka mafundi testa chini ya mwembe!! Sasa unaweza kuona electronics devices duni za kichina ikiwemo mataa taa ya urembo na madudu mengine ya kufanana na hayo, wenyewe wanaita ku pimp gari yan ni upuuzi mtupu!! ( samahani kwa mnaopenda kufanya hivyo) lakini ukweli lazima usemweWalioitengeneza wameacha room ya modification.
Wana sababu yao nzuri tu.
Unakutana na gari imefungwa haya madubwasha...Sawa lakini kwa vitu vya msingi sana mfano security systems!! Napo inashauriwa kuepuka mafundi testa chini ya mwembe!! Sasa unaweza kuona electronics devices duni za kichina ikiwemo mataa taa ya urembo na madudu mengine ya kufanana na hayo, wenyewe wanaita ku pimp gari yan ni upuuzi mtupu!! ( samahani kwa mnaopenda kufanya hivyo) lakini ukweli lazima usemwe
Gari inakuwa kama Jini MaimunaUnakutana na gari imefungwa haya madubwasha...View attachment 2563160
Ni ushamba na utoto mwingiMimi sina gari ila nashangaa baadhi ya vitu wanavyofunga wenye magari sijui wenge sijui ushamba...
Mwingine anatoa Rim kali imekuja na gari anaweka la mchina
Unakutana na gari imefungwa haya madubwasha...View attachment 2563160