Nissan Dualis yawaka moto Mbeya

Warrior

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
734
753
Hizi gari zinapoelekea siyo kuzuri kabisa, siku ya tarehe 30 July 2023 majira ya saa moja usiku maeneo ya kabwe Mbeya gari aina ya Nisaan dualis imewaka moto vibaya mnoo, bahati nzuri dereva aliwahi kuvunja vioo na kufanikiwa kutoka nje ya gari...

Video
 
Video View attachment 2703634
Hizi gari hazing tatizo kama ambavyo report zinakuja ila tunazichokoza wenyewe kwa kutaka kuzifungia android radio na TV hapo ndio tunazifanya ziungue moto
 
Hivi kuna tukio lolote la hizi ajali za moto wa magari ambapo fire extinguisher tunazobebeshwa kisheria ilifanikiwa kuzima huo moto?
 
Gari zinawaka pale ambapo inatokea leakage ya mafuta kwenye carburetor. Madereva wetu wanapenda sana kukanyaga accerelator kila mara na kusababisha overflow kwenye carb. Kama kuna leakage, short yoyote ile italipua moto hasa kama joto limezidi.
Hizi ajali za kuwaka moto magari nimezishuhudia sana ulaya kwenye majira ya joto.
Unapowasha gari siyo lazima upige ile kitu wanaita resi, washa gari ikiwa neutral....kumbuka kukanyaga accerelator pale tu unapotaka kuongeza mwendo ... Ukifikia mwendo unaoukusudia ondoa kabisa mguu wako kwenye accerelator utaepuka ajali za moto kwenye magari.
 
Utofauti wa nissan na Toyota hauna tofauti sana yote ni magari ya kijapan na yanatumia technolojia y kijapan tena bora kidg na nissan kuna mfaransa uwo
Sasa ttzo ya izo gari kuwaka moto ni kua technolojia ya magari imekua sana ila mafundi weng bado uwezo wao mdogo na hawataki kurudi shule kuboresha elimu

Ntakupa mfano mwaka 2010 nlinunua marcedes benz elegance ya 2009 ile gari ad leo naipeleka nairobi kwa mapengenezo apa arusha wafundi wengi ni hovyo na wazuri wana garama kubwa tofauti na nairobi

Juzi imegongwa mlango wa mbele ikabidi niende kunyoosha na kupaka rangi gar yote aise gar imekuja toka garage imefungwa hovyo mirango haifunguki vioo havipandi bonet haifunguki kumbe hawajui kufunga ila wanajua tu kupaka rangi sasa jiulize gar ya 2009 na leo ni 2023 bado akuna fundi wa kuitengeneza na bado akuna fundi anajua kuifunga inabid niipelele nairobi tena

Kwaiyo ttzo sio gar ttzo ni mafundi wa bongo bado weng ni ttzo na wanafanya kazi kwa mazoea na uzoefu mafundi bado wanatumia nyundo utazan mafundi mbao kumbe mafundi gar
 
Kwahiyo hao mafundi tatizo lao liko kwenye Nissan Dual tu? Maana ndizo zinaripotiwa Kuungua mara nyingi.
 
Hivi kuna tukio lolote la hizi ajali za moto wa magari ambapo fire extinguisher ilifanikiwa kuzima huo moto?
Wakijibu hili swali pls tag me,mazuzu humu hawajadili kwa kuangalia hilo why ni news gari kuwaka moto ILA why fire brigade haikufika kuzima moto huo ?,sasa wanaunga mkono 30B kuingia kurekebisha uwanja,hawafikirii kuhusu ambulance, fire engines etc etc
 
Kuna mdau kaeleza hapo juu kuwa shida ni mafundi sasa pale wanapofunga alarm system au GPS tracking na android TV na radio hapo wanaunganisha nyaya kimakosa na ndio kinachotokea gari nyingi hasa hizi Nissan kwa sababu gari zenyewe ni full umeme tu
Aise,hebu ongeza nyama kidogo
Toa elimu mzee

Ova
 
Wakijibu hili swali pls tag me,mazuzu humu hawajadili kwa kuangalia hilo why ni news gari kuwaka moto ILA why fire brigade haikufika kuzima moto huo ?,sasa wanaunga mkono 30B kuingia kurekebisha uwanja,hawafikirii kuhusu ambulance, fire engines etc etc
Gari liwake moto uite fire brigade?
Jamaa kauliza fire extinguishers kama huwa zinafanya kazi, niliona moja gari limewaka jamaa wanakimbilia kumwaga ndoo za maji kutoka kisima cha msikitini. Wamemwaga ndoo kama tatu moto haujapungua hata chembe, tumetoa fire extinguisher yetu ikazima moto ndani ya sekunde kadhaa. Ile extinguisher inakuja kuisha foam hata dalili za moto hamna.

Gari likianza kuwaka moto tafuta chanzo unakotokea na tumia fire extinguisher sio unapiga kelele na kuita watu wakati moto unakolea. Na mara nyingi magari yanaanza yanatoa moshi mkubwa kabla ya moto kuwa mwingi, hayalipuki.
Sasa wewe unayesubiri fire brigade itakuwa hujui kazi zao. Wakiwahi sana nusu saa hapo hamna gari, kwanza sometimes likiungua hata 30% unalazimika kuachana nalo
 
Gari zinawaka pale ambapo inatokea leakage ya mafuta kwenye carburetor. Madereva wetu wanapenda sana kukanyaga accerelator kila mara na kusababisha overflow kwenye carb. Kama kuna leakage, short yoyote ile italipua moto hasa kama joto limezidi.
Hizi ajali za kuwaka moto magari nimezishuhudia sana ulaya kwenye majira ya joto.
Unapowasha gari siyo lazima upige ile kitu wanaita resi, washa gari ikiwa neutral....kumbuka kukanyaga accerelator pale tu unapotaka kuongeza mwendo ... Ukifikia mwendo unaoukusudia ondoa kabisa mguu wako kwenye accerelator utaepuka ajali za moto kwenye magari.
Gari za siku hizi hazina Carburator, walishaachana na huo mfumo zamani sana.
 
Back
Top Bottom