The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 662
- 1,421
- Thread starter
- #61
Kosa ni kuichomeka tu, kufua na kupika hamna shidaNdo mademu wanakuja mpaka kwako kupika na kufua mashuka na umesema usalama wanakufatilia, Inamaana hawawazuii hao mademu? Au kukuchoma kwa demu wako wa Uingereza? Huoni umetunga nyuzi mbili zinazokinzana ili kutudanganya?