Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

new forest

Member
Mar 28, 2024
9
19
Habari zenu Wana JamiiForums?.

Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.

Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.

Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.

Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
 
Mwanamke akizaaa na mtu yaaan sijui km ndo umemroga haya aolewe na nani ukIomba game hachomoi ni wachache sana wanaweza kukataaa au tu ukute mwanaume aheshim ndoa yako.Jambo jingine kulea mtoto ambaye baba yake yupo hai lazima huko mbeleni litakuja kukipa maumivu ua roho.Naongea haya nayajua vyema maama nao ma single maza 2 nilio zaa nao wa tatu ni mjane.
 
Habari zenu Wana JamiiForums?.

Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.

Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.

Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.

Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
Kapime hiyo akili yako kwanza. Unanitia hasira
 
Chukua ushauri wa Wazee wako Kwa kumlea huyo mtoto uliyemkuta naye Waifu wako

Hii itapelekea mawasiliano ya Mkeo na Baba mtoto wake yaishe

Hata hivyo inaonesha wewe ni Mbinafsi Mkuu

Unaposema huwezi kulea mtoto wa Mwanaume mwenzako, vipi kama huyo mpenzi wako angekukuta na mtoto, naye angekufanyia hivyo.

Ungependa kweli?

Sio Wanawake wote wanaweza kupasha kiporo na Baba watoto wao baada ya kutengana
 
Utakuwa tayari mawasiliano yake na huyo baba wa mtoto uliyemkuta yaendelee juu ya malezi ya mtoto Wao..!?

Uko tayari kufahamiana na huyo Baba!?

Uko tayari huyo Baba wa Mtoto apige simu kwako au kwa mke wako amsalimie mtoto wake muda wowote anapojisikia!?

Uko tayari endapo itatokea siku mke wako akuage aseme anampeleka mtoto kwa Baba yake,anataka kumuona na kumnunulia mahitaji ya shule,anaenda kumpima na school uniforms!??

Kama maswali yote hayo ni NDIO... OA, NA HAKIKA UNAHITAJI KUINGIA KTK GUINESS RECORDS..
 
Hivi nyie ni mara ngapi tunawaambia kuhusu single maza..
Single maza anatakiwa kuolewa na aliemzalisha sio wewe. Kuna wanawake wengi tu hawana watoto, wote hao hujawaona wewe unang'ang'a nia single maza,, subiri siku ukipigwa tukio ndio utaelewa kwanini tunakuambia usioe single maza labda hadi ujihakikishile kaburi la baba mtoto..

Bond ya mtu na baby daddy wale haivunjikagi.. siku wakikutana ili amsalimie mtoto watapasha kiporo tu..

Hata wewe huyo mtoto wako siku mkikutana siku za mbeleni utapasha kipolo tu.
 
Habari zenu Wana JamiiForums?.

Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto.

Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana ujauzito wangu WA miezi mitatu na wiki CHACHE ZILIZOPITA niliwasilisha taarifa Kwa wazazi wangu na kusudio langu la kutaka kumuoa. Lakini wazazi wamemkataa katakata na hofu yao ni kwamba mabinti ambao ni single mother mahusiano yao na wazazi wenzao huwa hayaishi, hivyo walishauri niachane naye na nijiandae kulea mtoto atakayezaliwa kama mwanaume wake WA kwanza anavofanya.

Mimi nampenda huyo binti ila wazazi wamemkataa, hapo ndo naumiza kichwa. Na pia wazazi wamesema vinginevyo nikubali kuishi na kulea mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine Ili kupunguza mawasiliano kati yake na huyo mzazi mwenzie.

Lakini Mimi suala la kulea mtoto WA mwanaume mwenzangu naona itakuwa fedhea sana kwangu. Naombeni ushauri wenu, niwasikilize wazazi au Nile ngumu nimuoe hivyo hivyo.
Chukua ushauri wa Pili wa Wazazi kwa kumuoa na kulea mtoto wake. Wakati mwingine Mungu huwa anatupa majaribu aone utiifu wetu kwake.
 
Kwahiyo huyu binti mmemgeuza mashine ya kutotoleshea sindio? Mnamzalisha mnaenda kuoa wengine!

Mtoto wa miaka mitano ni mkubwa aende kwa baba ake ili binti nae afaidi ndoto zake kuitwa mke. Aliyetangulia aliharibu ila wewe unakwenda kuharibu zaidi, huyu binti akiwa na watoto wawili haoleki tena.

Ukiishi na huyu mtoto jiandae babaake kuletwa hapo kwako amuone mtoto wake, au kukutanishwa kwa siri na mtoto wake. Mama atoe mtoto aanze maisha mapya.
 
Mi nmemzalisha binti flani hivi na tumeachana na sina mpango wa kumuomba Mbususa hata akiolewa na sijamuomba muda sasa, kwahyo jaribu bahati yako huenda mwanaume wake akawa na falsafa kama zangu. All the best 😅
 
Sasa hata huo ujauzito Unajuaje kuwa ni wako?

Je kama wameamua kuzaa tena na mzazi mwenzake?

Unajua kwenye mapenzi kuna ujinga mwingi Sana.

Mwanamke hawezi kumsahau mwanaume aliemzalisha.

Na Papuchi atampa wakati wowote Jamaa atakapotaka kupiga.

Usioe huyo mwanamke.

Labda kama upo tayari kushare huyo mke wako na mwanaume mwenzako mpaka siku jamaa atakapokufa.
 
Back
Top Bottom