Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Sasa vibegi vya nini?
Majaribio ya Dar to Dom na viongozi wa dini wamelala Dom.
Unataka wasibadili nguo wanuke vikwapa?
Unataka wakipata dharula ya kumwagikiwa kinywaji au chakula au kutapikiwa wakose nguo za kubadili?
Wadada watabebea wapi female sanitary pads na vipodozi?
 
Back
Top Bottom