Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
789
499
Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

#60yaMuunganoTz

Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22, 2024 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Usikose!
 

Attachments

  • IMG-20240420-WA0035.jpg
    IMG-20240420-WA0035.jpg
    562.4 KB · Views: 4
  • IMG-20240420-WA0033.jpg
    IMG-20240420-WA0033.jpg
    557.5 KB · Views: 4
  • IMG-20240420-WA0034.jpg
    IMG-20240420-WA0034.jpg
    507.1 KB · Views: 6
  • IMG-20240420-WA0032.jpg
    IMG-20240420-WA0032.jpg
    597.2 KB · Views: 6
  • IMG-20240420-WA0026.jpg
    IMG-20240420-WA0026.jpg
    499.6 KB · Views: 3
  • IMG-20240420-WA0028.jpg
    IMG-20240420-WA0028.jpg
    566.9 KB · Views: 3
  • IMG-20240420-WA0024.jpg
    IMG-20240420-WA0024.jpg
    543.9 KB · Views: 4
Viongozi wa dini wa nini kwenye majaribio ya treni??
Ni ajabu Sana hii.

Maandiko matakatifu yalishasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."

Badala ya kuwakusanya na kuwaalika Wahandisi (Engineers) wabobevu ili kuweza kuchunguza ubora wa reli na treni pamoja na kuvifanyia tathmini kali wakati wakiwa safarini, wao wamewakusanya Viongozi wa dini ambao wengi wao ni Chawa wao wa kisiasa. Yawezekana Viongozi wa dini wote hawa walioalikwa hakuna hata mtu mmoja ambaye angalau anajua kushika Spana ili kuweza kukaza 'Nut' zilizolegea za mataluma ya reli endapo kama watazibaini wakati wakiwa safarini.
Yaani ni hovyo kabisa!!
 
Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

#60yaMuunganoTz

Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22, 2024 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Usikose!
Ifike zamu ya wananchi ambao ndio walengwa wa hizo treni Magufuli alinunulia wanyonge cha ajabu wenye treni zao hamjawapandisha wakazionja na kutoa tathimini!
 
Ni ajabu Sana hii.
Badala ya kuwakusanya na kuwaalika Wahandisi (Engineers) wabobevu ili kuweza kuchunguza ubora wa reli na treni pamoja na kuvifanyia tathmini kali, wao wamewakusanya Viongozi wa dini ambao wengi wao ni Chawa wao wa kisiasa. Huenda Viongozi wa dini wote hawa walioalikwa hakuna hata mtu mmoja ambaye angalau anajua kushika Spana ili kuweza kukaza Nut zilizolegea za mataluma ya reli endapo kama watazibaini wakiwa safarini.
Yaani hovyo kabisa!!
Hii nchi ina viongozi jau sana, kuna muda unapotezea km huoni wanatia hasira sana’a
 
Back
Top Bottom