Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anaye uza eneo/ shamba

Habari zenu Wana JF , Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu , nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyo jua Kilimo chetu apa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata gorofani ila sana sana wengi wetu tume zoea kulima ardhini hivyo basi kama Kuna Mtu anauza eneo /shamba maeneo ya mkoa wa pwani tuwasiliane pm, kwa kuanzia natakata heka mbili tatu au hata heka 1, na kuhusu bei sio Yale mashamba ya 10M kwa heka hiyo hapana , ni Yale ya bei ya chini

Ni hayo tu
Nina hekari tano naziuza Bagamoyo Fukayosi kwa Milioni tano. Kama upo Interested tuwasiliane.
NB.
Shamba limepimwa
 
Kaka, hongera kwa mawazo hayo. Ila kwanza ungetuambia unataka kulima zao/mazao gani.

Mimi nalima Morogoro maeneo ya Mvuha huku mazao makuu ya chakula ni mahindi, mpunga, mtama, na ndizi mzuzu. Mazao ya biashara ni Ufuta, Mbaazi na wachache wameanza kupanda mikorosho.

Shamba nimenunua mwaka jana na bei kwa hekari moja ni 400,000 kama utapenda naweza kukuanganisha na wenyeji ili ununue
 
Habari zenu Wana JF , Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu , nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyo jua Kilimo chetu apa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata gorofani ila sana sana wengi wetu tume zoea kulima ardhini hivyo basi kama Kuna Mtu anauza eneo /shamba maeneo ya mkoa wa pwani tuwasiliane pm, kwa kuanzia natakata heka mbili tatu au hata heka 1, na kuhusu bei sio Yale mashamba ya 10M kwa heka hiyo hapana , ni Yale ya bei ya chini

Ni hayo tu
Nnazo heka 5 zipo Mtwara, Nje kidogo ya manispaa ya Mtwara Mikindani.
 
Kwa anaetaka shamba la Bustani, lipo karibu na High Way ya kuelekea Dodoma eneo la Dumila- Kwa wanaolifahamu eneo Hilo ni maarufu sana Kwa mazao ya bustani. Lina kisima cha umwagiliaji hakikauki mwaka mzima. Zipo Eka 2, unaweza kulima mazao yote ya bustani unayoyafahamu. Karibuni sana.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ah wapi ndo million sitini?
 
Dumila hapo kuna wahuni matapeli sana wa maeneo...
 
Wahuni wapo maeneo mengi!! Ila Hilo ni eneo langu binafsi (Mimi ni mwenyeji wa eneo hilo)Lina miwa ya kutosha nimeshaanza kuvuna. Nashindwa usimamizi kwa kuwa Niko mbali na hapo kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa. Nahitaji fedha ili ninunue shamba lingine huku niliko. Bei maelewano kwa anaehitaji

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kama uko unataka kuanza, nishauri uje nikupe sehemu, hata hiyo eka moja ulime. Eneo liko ndani kama unaelekea Soga SGR Station. Kuna maji ya bwawa, kuna water pump ya kuvuta maji kutoka bwawani ajili ya umwagilaji. Niko busy sana na kazi za mjini. Uisimamizi juu yako, na vijana wa kazi wapo, malipo yao nusu kwa nusu na wewe kwa muda wa makubaliano. Faida tunagawana nunu kwa nusu, hasara ni juu yako.

Masika ndio hiyo inaanza.

Kama uko serious inbox me.
 
Wahuni wapo maeneo mengi!! Ila Hilo ni eneo langu binafsi (Mimi ni mwenyeji wa eneo hilo)Lina miwa ya kutosha nimeshaanza kuvuna. Nashindwa usimamizi kwa kuwa Niko mbali na hapo kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa. Nahitaji fedha ili ninunue shamba lingine huku niliko. Bei maelewano kwa anaehitaji

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hii bei y marlewano bado kubwa ipunguze kidogo.. weka bei iliyopunguzwa hapa
 
Nimekuelewa sana kiongozi!! Shamba Eka 2 zenye maji mm mwenyewe nauza milioni 4, ni karibu sana na barabara kuu ni mita 500 toka Barabara iendayo Dodoma, eneo ni Dumila mjinmdogo , na ni jirani sana na centre ya kuuzia mazao!! Nahitaji pesa ninunue shamba huku niliko kwa sasa.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa sana kiongozi!! Shamba Eka 2 zenye maji mm mwenyewe nauza milioni 4, ni karibu sana na barabara kuu ni mita 500 toka Barabara iendayo Dodoma, eneo ni Dumila mjinmdogo , na ni jirani sana na centre ya kuuzia mazao!! Nahitaji pesa ninunue shamba huku niliko kwa sasa.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Anhaa mm ninatafuta ya heka Moja 1m
 
Kaka, hongera kwa mawazo hayo. Ila kwanza ungetuambia unataka kulima zao/mazao gani.

Mimi nalima Morogoro maeneo ya Mvuha huku mazao makuu ya chakula ni mahindi, mpunga, mtama, na ndizi mzuzu. Mazao ya biashara ni Ufuta, Mbaazi na wachache wameanza kupanda mikorosho.

Shamba nimenunua mwaka jana na bei kwa hekari moja ni 400,000 kama utapenda naweza kukuanganisha na wenyeji ili ununue
Nakuomba PM mkuu
 
Back
Top Bottom