Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.

Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa kuchat naye asiwe anaomba hela wala mtoto

Nawasilisha
Chief hujaeleweka. Rafiki wa kike au mwanaume!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom