Dr Alfonsi
Member
- Jun 16, 2023
- 34
- 70
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
NB: if you're interested, you're mostly welcome, and please hit my pm for more conversation.
Sincerely,
Alfonsi
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
- Mwenye hofu ya Mungu
- Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume
- Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea
- Awe na shughuli halali - mfanyabiashara, mjasiriamali, mfanyakazi (kada yeyote ile -KARIBU)
- Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea
- Kabila lolote lile -from north to south, or west to east, or lake zone to southern highlands (WELCOME).
- Kama una mtoto, asizidi mtoto mmoja.
- Uwe mwanamke wa kujiheshimu na kuheshimiwa (respectful woman)
- Uwe tayari kupima magonjwa yote including HIV.
- Sibagui dini, kikubwa ni upendo na mashikamano (dini zipo, ila sio kigezo cha kukubagua)
- Natambua uwepo wa wanawake wazuri, wasomi na wana professional nzuri tu lakini wanapitia changamoto ya mahusiano kwa kutopata mtu (mwanaume) sahihi wa kudumu nae maishani. Tumia hii nafasi, njoo tuzungumze tuyajenge, huenda ukawa mwanamke bora wa maisha yangu na hatimaye kusahau magumu yote uliyopitia na hatimaye kuwa na furaha ya kudumu.
- Uwe tayari kwa ndoa halali, ili kuimarisha muunganiko wetu.
- Nina hofu ya Mungu (Mkristo wa Kikatoliki)
- Umri wangu ni late 30's
- Elimu yangu -Postgraduate degrees
- Nina kibarua (muajiriwa serikalini)
- Ni mwanaume - I stand as a man responsible for the raising good foamily for happiness life
- Mimi sio mnene, sio mfupi (I am about 170 cm tall), sina kitambi.
- LOCATION: MBEYA MJINI ( MAISHA AS FAMILY - TUTAISHI MBEYA MJINI)
NB: if you're interested, you're mostly welcome, and please hit my pm for more conversation.
Sincerely,
Alfonsi