How can a Dr hustle like this in finding a wife here? Tanzanian ladies tuweni serious jamani..
Haiwezekani mtu mwenye maisha yake na profile kubwa hivi na tangazo zuri namna hii la kutafuta mke apambane hivi, siku zote hizi toka ametoa tangazo bado hajampata mmoja.
Tuweni serious na maisha ladies...
Ndoa ngumu sana miak hii ukikutana Hao waliooa na kuolewa ni balaa,
Last day nilikutana na rafikiyangu tuna 2 yrs hatujaonana sabbu ya majukumu kaolewa na mwanaume mzuri tu nyumbanzuri gari Kali mume kijana Wana mtoto lakn Hadith ya maishayao choz lilinitoka nyie aache tuziogope ndoa tuongeze Dua tu mambo yamebadilikasana
 
Kwakweli Mungu atusaidie kizazi hiki.
 
Kumbe Bado tu hujapata
Yaani nimekaa kusubiri msg yako naona kimyaa, pamoja kwamba nilileta special request kwako lakini umenipotezea . Nimeumia sana ujueee!
Hebu ukuje basi wife material jamani, nami nitajitahidi kuwa best husband kama mshua alivyokulea wewe mke nikupendaye 😘
 
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
  • Mwenye hofu ya Mungu
  • Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume
  • Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea
  • Awe na shughuli halali - mfanyabiashara, mjasiriamali, mfanyakazi (kada yeyote ile -KARIBU)
  • Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea
  • Kabila lolote lile -from north to south, or west to east, or lake zone to southern highlands (WELCOME).
  • Kama una mtoto, asizidi mtoto mmoja.
  • Uwe mwanamke wa kujiheshimu na kuheshimiwa (respectful woman)
  • Uwe tayari kupima magonjwa yote including HIV.
  • Sibagui dini, kikubwa ni upendo na mashikamano (dini zipo, ila sio kigezo cha kukubagua)
  • Natambua uwepo wa wanawake wazuri, wasomi na wana professional nzuri tu lakini wanapitia changamoto ya mahusiano kwa kutopata mtu (mwanaume) sahihi wa kudumu nae maishani. Tumia hii nafasi, njoo tuzungumze tuyajenge, huenda ukawa mwanamke bora wa maisha yangu na hatimaye kusahau magumu yote uliyopitia na hatimaye kuwa na furaha ya kudumu.
  • Uwe tayari kwa ndoa halali, ili kuimarisha muunganiko wetu.
SIFA ZANGU
  • Nina hofu ya Mungu (Mkristo wa Kikatoliki)
  • Umri wangu ni late 30's
  • Elimu yangu -Postgraduate degrees
  • Nina kibarua (muajiriwa serikalini)
  • Ni mwanaume - I stand as a man responsible for the raising good foamily for happiness life
  • Mimi sio mnene, sio mfupi (I am about 170 cm tall), sina kitambi.
  • LOCATION: MBEYA MJINI ( MAISHA AS FAMILY - TUTAISHI MBEYA MJINI)

NB: if you're interested, you're mostly welcome, and please hit my pm for more conversation.

Sincerely,

Alfonsi
Ukisikia tego la mkunga ndio hili soon anatafutwa wakulivagaa😂😂😂
 
Yaani nimekaa kusubiri msg yako naona kimyaa, pamoja kwamba nilileta special request kwako lakini umenipotezea . Nimeumia sana ujueee!
Hebu ukuje basi wife material jamani, nami nitajitahidi kuwa best husband kama mshua alivyokulea wewe mke nikupendaye 😘
Aaliyyah binti uliyelelewa kwenye misingi mizuri unapendwa ndugu yangu. Jaribu bahati yako kwa Daktari.
Chezea kuitwa mama Dr.
 
Inawezekana wadada tumeenda ila hajaridhika na muonekano wetu,..
Lazima atakuwa anaangalia wa kuendana pia.
Sijui kwann watu hawawazi hili. Kila mtu ana choice zake. Sio kisa kaweka bandiko basi bora liende
 
Sijui kwann watu hawawazi hili. Kila mtu ana choice zake. Sio kisa kaweka bandiko basi bora liende
Hata hajalazimisha akubaliwe maana mapenzi hayalazimishwi. Amekubali kuikosa nafasi, hapo alikuwa anajielezea tu kunijibu Maana nilidhani wadada hawajamwendea Daktari PM.
 
Hata hajalazimisha akubaliwe maana mapenzi hayalazimishwi. Amekubali kuikosa nafasi, hapo alikuwa anajielezea tu kunijibu Maana nilidhani wadada hawajamwendea Daktari PM.
[/QUTE]
Lazima watakua wameenda dear
 
Aaliyyah binti uliyelelewa kwenye misingi mizuri unapendwa ndugu yangu. Jaribu bahati yako kwa Daktari.
Chezea kuitwa mama Dr.
😀😀😀Apambane tu atapata wa kuendana nae,hayo mambo ya malezi ni ya kusadikika ukute ninatabia mbovu kuliko😀awe mvumilivu tu wakat wake ukifika atapata tu inshallah
 
Hahaha jamani ujue mnachekesha sana.
Leo ndio nimeamini kwanini mwanamke mwenye Tako ukikutana nae mtaani anakuwa na confidence kama ana degree wakati hata form four hajamaliza;

na mwenye masters degree halafu hana tako though ana maisha yake na good salary lakini anakuwa hana confidence kabisa kisa tu hana tako!

Jamani wanaume wenzagu "Good wife" is not about trakoo , tusiwatese dada zetu kutumia mchina kuongeza ma trako Ili kuridhisha wanaume
Dr ushapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom