Habari wana JF,

Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.

Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
  • Mwenye hofu ya Mungu
  • Anayejielewa sio waluwalu
  • Awe na elimu ya kidato cha nne (form four) na kuendelea hadi alipofikia
  • Kama ni mwajiriwa - kada yeyote ile ya utumishi, karibu sana
  • Kama single mother - mtoto asizidi mmoja
  • Uwe tayari kuolewa na sio drama
Location: Nipo Mbeya mjini, sihitaji mapenzi ya mbali (long distance relationship), kama upo interested and your not living Mbeya town, then accept to be relocated to follow your husband not otherwise.

NB: if you're interested, you're mostly welcome, and please hit my pm for more conversation.
nmekuja npo very serious
 
aisee
 
How can a Dr hustle like this in finding a wife here? Tanzanian ladies tuweni serious jamani..
Haiwezekani mtu mwenye maisha yake na profile kubwa hivi na tangazo zuri namna hii la kutafuta mke apambane hivi, siku zote hizi toka ametoa tangazo bado hajampata mmoja.
Tuweni serious na maisha ladies...
 
Wanaringaga na wanadharau na hawana aibu kukutreat sheet yaani hujawahi ishi nao
 
How can a Dr hustle like this in finding a wife here? Tanzanian ladies tuweni serious jamani..
Haiwezekani mtu mwenye maisha yake na profile kubwa hivi na tangazo zuri namna hii la kutafuta mke apambane hivi, siku zote hizi toka ametoa tangazo bado hajampata mmoja.
Tuweni serious na maisha ladies...
Inawezekana wadada tumeenda ila hajaridhika na muonekano wetu,..
Lazima atakuwa anaangalia wa kuendana pia.
 
Wanaangalia muonekano...
Kuna mengi mazuri ya mtu yamejificha ndani yake ambayo hakuna picha duniani inaweza kuyaonesha kwa nje.
Poa mwaya. Kila mtu ana mtu wake. Ikiwa hivi jua hakuwa wako. Kutafuta kuendelee. Hadi umpate atakayeona unamfaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom