Natafuta mume, awe HIV+

Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.

Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
 
Ndio,Copa cabana
 
I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...

Ila ukimkosa huyo umtafutaye, usijali tuko marafiki ambao tunaweza kukupa company kiroho safi kabisa....

Maisha mafupi haya lazima tuishi kwa kupendana, kujaliana, kuheshimiana na kusaidiana
Amina.
 
Naishi na mjane ambaye alitelekezwa na ndugu za mumewe. Anaishi kwa matumaini na anajielewa sana. Mke na watoto wangu wameikubali hali yake na amekuwa kama sehemu ya familia sasa....

Kwahiyo naongelea uzoefu mamii... Tumemchukua huyu mama akiwa client wa mke wangu... Hivi sasa kapendeza midume inajipendekeza balaa.... Uzuri mama wa watu hajitakii dhambi mpya...Angeshawapanga wengi tu angetaka..

Ila Mungu yu mwema daima
Amen,umejiwekea akiba kwa wema wako.ubarikiwe.
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV POSITIVE kama Mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Pole , nakuombea utapata
 
Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.

Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Aisee. omba tu hivohivo ulivoomba kimoyomoyo
 
Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu by they ni mwajiriwa wa serikali ila ilo figure sasa uwiiiiiiiiiii kwani UKIMWI Shingapi ni bonge la dada mimi leo hii napiga bila shida yoyote ila ndomu muhimu.

Ishi kwa raha zako kuwa na AIDS ni fresh tu.
Mmh mkuu wew jasiri aisee,
 
Hongera sister, wote tungekuwa hivi wala transmission isingekuwa kwa kiwango kikubwa sana.

Utapata hata -ve sio lazima awe +ve, kila la heri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom