Natafuta mume, awe HIV+

Mimi Ni mwanamke,miaka 32, watoto wawili...baba wa watoto tumeachana mda kidogo...sijakata tamaa Wala,nayapenda Maisha kweeli.Nimeajiriwa.Natamani nipate mwanaune ambae Ni HIV POSITIVE Kama Mimi ili tutengeneze familia....upweke unachosha..karibu PM
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
 
Kuna yule docta yupo Instagram anaitwa lawi kama upo interested njoo pm nakupa namba yake atakuunganisha na mtu alie sawa na hali yako anasaidia watu wengi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom