Natafuta mume, awe HIV+

Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Dear Aspirin,God bless you.am a woman,nina maeneo mengi ambayo yatanifunga nipime , especially nikiwa mjamzito🥰
 
Dear Aspirin,God bless you.am a woman,nina maeneo mengi ambayo yatanifunga nipime , especially nikiwa mjamzito🥰
I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...

Ila ukimkosa huyo umtafutaye, usijali tuko marafiki ambao tunaweza kukupa company kiroho safi kabisa....

Maisha mafupi haya lazima tuishi kwa kupendana, kujaliana, kuheshimiana na kusaidiana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom