Natafuta mume, awe HIV+

@Intelligent businessman my dear, bado Yesu ananipigania nikikumbukwa na mkaka mzuri kama wewe Basi maisha ndo yanazid kuwa super nawe waendeleaje rafiki angu?
Safi, ni vizuri kusimamia katika imani rafiki.
Mie Niko poa mpendwa, hope mna endelea Poa na familia!!.

Hahaha mi nta kukumbuka, Mpaka uchoke🤓
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom