Uzuri wa kozi unategemea vitu vingiNatanguliza shukrani,
Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu.
CIVICS"D"
ENGLISH"C"
GEOGRAPHY"C"
KISWAHILI"C"
HISTORY"C"
BIOLOGY"C"
CHEMISTRY"C"
PHYSICS"F"
MATH'S"F"
Division III:22
Ndio hvyo tenaUnamiswaki kwenye sayansi na maths.
Nashukuru Kwa ushaur kiongozExcavator/Wheel Loader Operator.
Utanishukuru siku Moja utanitafuta utaninunulia kilo ya sukari
Nimekuelewa kaka..Uzuri wa kozi unategemea vitu vingi
1. Urahisi wa kuisoma
2. Mazingira ya kuisoma ikiwemo ada nk
3. Mazingira ya kufanyia kazi
4. Urahisi wa ajira
5. Maslahi ya kazi
6. nk
Wewe unazungumzia uzuri gani??
NB
Kwa upande wangu Kwa sasa naona kozi zote sio nzuri ila Kuna za angalau (naangalia ajira na maslahi)
Wakati huo huo ukiwa una connection hamna kozi mbaya (Elewa vizuri)
Okk nashukuruNenda vyuo vya kati usome ufundi mchundo au fundi sanifu kozi za umeme wa magari, makenika
Hii kozi ina pesa balaa vijana hawajui tuExcavator/Wheel Loader Operator.
Utanishukuru siku Moja utanitafuta utaninunulia kilo ya sukari
Ifanyie kazi post namba 6 utashukuru maisha yako yoteOkk nashukuru
Sawa mkuu..Ifanyie kazi post namba 6 utashukuru maisha yako yote
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikupe core genius yako. Usitaje mwaka, tarehe na mwezi basiNatanguliza shukrani,
Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu.
CIVICS"D"
ENGLISH"C"
GEOGRAPHY"C"
KISWAHILI"C"
HISTORY"C"
BIOLOGY"C"
CHEMISTRY"C"
PHYSICS"F"
MATH'S"F"
Division III:22
Thats allSoma unachokipenda.
30.4Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikupe core genius yako. Usitaje mwaka, tarehe na mwezi basi
Sababu umeferi sayansi na hesabu una option zifuatazo zilizobaki30.4
01/07Sababu umeferi sayansi na hesabu una option zifuatazo zilizobaki
Somea vifuatavyo:
1. Sanaa au usanii
2. Mambo ya fashion (mitindo)
3. Kilimo
4. Upishi
Pia ondoa kichwani kwako kitu kinaitwa scarcity mindset, hii ni hali ya kudhani kuna uhaba wa vitu au Mali hapa duniani.
Watu wenye nyota kama yako wanatabia hiyo ya kudhani hapa duniani kuna uhaba wa kazi, hela, wapenzi nk
Pia usiwe mnyang'anyi, amini kwamba kama ipo ipo tu
Na usipende maisha ya kitajiri sana (luxury)
Mafanikio ni sehemu ya hatma yako, success is in your destiny, huhitaji kupambana au kupigana sana lazima utafanikiwa tu kwa mjibu wa nyota yako
Duh..! saw mkuuSababu umeferi sayansi na hesabu una option zifuatazo zilizobaki