Wewe kalime magimbi tu kila a mkubwa sijui umerithi upumbavuJamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?
Matokeo yang ni haya.
Civics C,
English C,
Biology C,
Kiswahili C,
History C,
Geography D,
Math F.
EGL ni comb gani mpya auEGL, HKL. Zote za kwako usiwe na hofu
Kwanini nichague shule ambazo hazijulikan?Chagua shule ambazo hazijulikani sana kama saiv mna huo utaratibu wa kuchagua baada ya mtihani
Pili kwenda utaenda kombi HKL na hizo mpya ambazo sizijui...
Tatu ukienda nenda kasome sana mdogo wangu chukulia changamoto zilizokupa hizo alama za form four kama funzo ili ikifika wakati wa kuchagua chuo uwe na furaha na amani
Unaenda mkuu second selectionJamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?
Matokeo yang ni haya.
Civics C,
English C,
Biology C,
Kiswahili C,
History C,
Geography D,
Math F.
Aisee kuna watu bado mna mawazo ya kwenda advance Hadi Leo?Jamani nimepata division III ya point 24 nilikuwa nauliza je, kitafanikiwa kwenda kidato cha tano ( A level)?
Matokeo yang ni haya.
Civics C,
English C,
Biology C,
Kiswahili C,
History C,
Geography D,
Math F.
Chagua tabora, kasmiri mzumbe na nk... ushindani ukutoeKwanini nichague shule ambazo hazijulikan?