Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

Natanguliza shukrani,

Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu.

CIVICS"D"
ENGLISH"C"
GEOGRAPHY"C"
KISWAHILI"C"
HISTORY"C"
BIOLOGY"C"
CHEMISTRY"C"
PHYSICS"F"
MATH'S"F"
Division III:22
Kasome CBG kama utaweza
 
Mi meezio lisoma cbg matokeo yangu hayana tofauti na yako mm mwenzio nimekua mwalimu (elimu mjumuisho) shahara hautoshi nishaanza mipango ya kuanzisha kashule kangu
 
Back
Top Bottom