huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 145
- 194
Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
Dah! Huko pm pamemuwakia moto wenye UTI wamo, kaswende wamo,gono nao hawakosi wameamua wakamfariji...😂Sema na huo wakati mgumu kuna mtu ana andaliwa kuliwa hapo,
Naona kabisa mijamaa ya hovyo haicomment inaenda straight inbox😆😆😆
Vipi utii mguu mtaalam. ?.anatafutwa mtu hapa
😂 😂 😂 😂 hapana, nishastua cha jioni dk 60 zilizopita, sina hata hamuVipi utii mguu mtaalam. ?.
ikiwemo na wewe au ?wameshamtumia picha za Uboo
subiri baada ya miezi mi3 ataleta ushuhuda na ID mpya.Dah! Huko pm pamemuwakia moto wenye UTI wamo, kaswende wamo,gono nao hawakosi wameamua wakamfariji...😂
ikiwemo na wewe au ?
😂 😂 😂 zama pm wewe acha uoga, utelezi wa bure unakupita ohooWeeeh Kuna mtu ana Login details na muda wote anapekua ....naanzia wapi ?😂
😂We umezama ?😂 😂 😂 zama pm wewe acha uoga, utelezi wa bure unakupita ohoo
kwanini nizame ? mie team ny3t0😂We umezama ?