Nahitaji rafiki wa kuchat

hiyo avatar vipi mwanetu😂
a-215.jpg
 
Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
Umenipata mamaa! Mimi nimechukua tuzo ya mchatishaji bora miaka mitatu mfululizo yaani hattrick, 2020-2021, 2021-2022, 2022-2023 na ya nne inaload
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom