Nahitaji rafiki wa kuchat

kwanini nizame ? mie team ny3t0
FB_IMG_16974511904498503.jpg
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kipindi chake hakukuwa na yuutiai tatizo , hata Azuma hazikuuzwa kabisa
Napokea maono ..nafsi inalalama ikiniambia ya kupasa umtuwe ugumu huyu dada nawe utajizolea swawabu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Duh kwakweli ndoa hatutaiweza kiongoz kwa ratiba hzo, mm hp ndio naihesabia sijui nishtue saa hz au muda wa kulala
yaani mie ishakua sawa na ratiba ya mlo, mpaka naogopa
nimeua watoto wengi mno, nastahili miaka 180 jela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom