naomba maana ya neno "kanyaboya"kama lilivyotumiwa na mensen selekta,na maana ya neno "fyatanga"
Why water expand abnormal?
simple,
Jaza maji kwenye mfuko wa maji ifikayo lita moja kisha pima
ni vizur mtu aulize swali ambalo anahitaji ufafanuzi na si kuuliza tu ilimradi na wew umeuliza, ama kuuliza kitu unachokifahamu ili upime watu. msomi ni yule aliyekomboka kifikra na mtazamo. ahsanteni
Pembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'
humu wote siasa na history.
sln
y+180-3y +180-3y=180
y+(180-3y)2=180
y+360-6y=180
y-6y=180-360
-5y=-180
-5y/-5=-180/-5
y=36
. ' .y=36.
humu wote siasa na history.
sln
y+180-3y +180-3y=180
y+(180-3y)2=180
y+360-6y=180
y-6y=180-360
-5y=-180
-5y/-5=-180/-5
y=36
. ' .y=36.
humu wote siasa na history.
sln
y+180-3y +180-3y=180
y+(180-3y)2=180
y+360-6y=180
y-6y=180-360
-5y=-180
-5y/-5=-180/-5
y=36
. ' .y=36.
Kamanda hiyo pembe ni pacha so ukichukua 3y ya nje ujumlishe y iliyopo ndani kwenye mstari mnyofu ili kupata thamani ya y, hutapata 180,
Na pia uliambiwa pembe za ndani zote ni y, hivyo ukiamua kuzifanya kuwa 36 hazitakuletea jibu stahiki.
Hivyo nachoamini umerong labda wenzangu watakuwa wana majibu zaidi.
Je uzito utakuwa sawa ikiwa nikitumia lita moja ya asali?
this is because of particular nature of hydrogen bond H2O.
Ona swali vizuri,y ni angle ya ndani juu na mbili zilizo baki ndo pacha za chini, moja ya pacha angle ya nje yake endo 3y ili kupata ya ndani ni 180-3y ambapo itafanana na nyenzie ili kupata jumla ya ndani ambayo ni 180 itakubidi ujumlishe (180-3y) + (180-3y) + y =180 .hapa pacha ni mbili na y ni ya juu. hapa imeeleweka y
./_\_3y na y ikae ndani juu
Kanyaboya ni neno la Kiswahili linalotokana na jina la mchezaji wa zamani aliyesajiliwa na klabu moja kubwa hapa nchini, akiitwa Kanyabwoya, lakini akawa mbovu kupita maelezo!naomba maana ya neno "kanyaboya"kama lilivyotumiwa na mensen selekta,na maana ya neno "fyatanga"