Stazius Magoma
Member
- Dec 16, 2019
- 15
- 5
guys naomba ushauri nimesoma comb ya HGE lkn toka o level nilipata "F" ya math hadi advance lkn ninashida xana ya kusomea biashara chuoni.na nimepata division 1 ya 9 advance.nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app