Sombrero
New Member
- Jan 1, 2023
- 0
- 1,615
Ndio hawayataki haya ZanzibarKwanini Mchungaji akitaka gari anachangiwa na muumini akitaka gari anaombewaView attachment 2609018
Atokee shekhe sasa anadai achangiwe, au atafune hela ya msikiti, atatafuta pa kujizika
Kama wale mashekhe wa mchongo walimfata yule mtume kule Arusha, walivyopigwa biti kali, wakajitetea kuwa walilala na walivyoamka na kujikuta wako Arusha, 🤣🤣🤣