Msaada viungo vya upishi

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
646
945
Jamani kuna sehemu ukienda kula mpaka una enjyoy test ya chakula hususan nyama ukienda migahawa ya wazanzibar wanakuwa ni michuzi mitamu sana.

Hivi wanatumia viungo gani vinavyofanya test iwe vile kwenye nyama na samaki?
 
Kwa ninavyofahamu..chakula kitamu sometimes ni mkono na moyo wa mpishi. The Culinary Art, ili imake sense, love is supposed to be there. Maybe naongelea vitu abstract...nweiz,

Hivi viungo usivikose ndani kwako ikiwa ni mpenzi wa nyama, samaki and whatsoever. Oyster sauce, soy sauce, garam masala, beef/chicken cubes, swaumu, tangawizi, vinegar, onion powder, garlic powder... kwa mambo ya chomachoma..usikose a little wine/whisky. Lakin pia it depends na pishi, kama ni mambo ya kuweka kwenye oven ama air fryer basi utatumia viungo nilivyovitaja hapo juu hasa vile vya unga, na kwa mambo ya kuchoma unatumia vya liquid kwa sana. Na pia kupata ladha tofauti oika tofaut kila mara. Kama this time ulitumia oyster source na garam masala, next time kwenye kubake unatumia onion powder na garlic ginger paste....mind you..put your heart into the food..and your time as well, utatisha!!!
 
Kama utakuwa na muda Ungeandika na namna ya kutumia ingependeza.
Sisi wazee wa mchuzi pia tunajifunza
 
Kwa ninavyofahamu..chakula kitamu sometimes ni mkono na moyo wa mpishi. The Culinary Art, ili imake sense, love is supposed to be there. Maybe naongelea vitu abstract...nweiz,

Hivi viungo usivikose ndani kwako ikiwa ni mpenzi wa nyama, samaki and whatsoever. Oyster sauce, soy sauce, garam masala, beef/chicken cubes, swaumu, tangawizi, vinegar, onion powder, garlic powder... kwa mambo ya chomachoma..usikose a little wine/whisky. Lakin pia it depends na pishi, kama ni mambo ya kuweka kwenye oven ama air fryer basi utatumia viungo nilivyovitaja hapo juu hasa vile vya unga, na kwa mambo ya kuchoma unatumia vya liquid kwa sana. Na pia kupata ladha tofauti oika tofaut kila mara. Kama this time ulitumia oyster source na garam masala, next time kwenye kubake unatumia onion powder na garlic ginger paste....mind you..put your heart into the food..and your time as well, utatisha!!!
Uko vizuri. Unaonaje ukianzisha uzi,utuelekeze namna ya kuchanganya viungo hivyo! Niliwahi kula mishikaki kwa mzanzibar, mpaka wa leo simsahau. Pesa unatoa,ukiishiwa utasingizia kutekwa ili utumiwe nyingine.
 
Back
Top Bottom