TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

CDF huyo wa Kenya akiwa amepona Nakunya ( Naukweka ) kutoka hapa Kampala UG nilipo hadi Dar es Salaam TZ Oky?
Au ndo mmeanza operesheni na CDF Muhoozi huko.......maana kadondoka karibu na mpaka wa Kenya na Uganda.....,ngoja afufuke uukweke
Screenshot_20240418-181557_Samsung Internet.jpg
 
Taifa. Afrika imebaini kuwa helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) iliyokuwa imembeba Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Francis Ogolla iliyoanguka Alhamisi ilikuwa ikitoka kwenye misheni ya amani katika Kaunti ya Pokot Magharibi.

Chopa hiyo ilianguka katika eneo la Sindar kwenye mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet, na kuua watano.

Watu wanane waliokuwa helikopta hiyo walikuwa wametoka katika Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Cheptuel katika Eneo Bunge la Sigor, Kaunti ya Pokot Magharibi, ambapo KDF inajenga upya shule zilizoathiriwa na ujambazi.
 
View attachment 2967516
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.

Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za awali zinadai ndege hiyo ya Kijeshi ilikuwa imebeba watu 9, na imewaka moto baada ya kudondoka hivyo kutilia hofu usalama wake.

Taarifa zaidi zitakujia hivi Punde.

Citizen TV
Mbinu za kimedani!
 
Hebu mwenye history ya namna huyu Mkuu wa Majeshi alivyopanda cheo atuwekee humu. Nahisi alipata kama shukrani kutoka kwa William Rutto kwa mambo aliyomsaidia wakati wa uchaguzi
 
Hebu mwenye history ya namna huyu Mkuu wa Majeshi alivyopanda cheo atuwekee humu. Nahisi alipata kama shukrani kutoka kwa William Rutto kwa mambo aliyomsaidia wakati wa uchaguzi
Inadaiwa, na Ruto amewahi kusema, Ogolla ni mmoja ya watu ambao walitaka asiwe Rais wa Kenya. Anadai alitumwa kumzuia mwenyekiti wa tume ya uchaguzi asimtangaze Ruto kama mshindi.

Licha ya hayo yote, Ruto baada ya kuwa rais aliamua kumteua kwakuwa aliamini ni mtu makini na mwenye sifa zote za kuwa CDF.

Sasa hatujui kama alipewa mafuta mengi ili anenepe au ili apate presha na afe mapema.
 
Back
Top Bottom