Rais Ruto (May 15, 2023): Ogolla ni miongoni mwa watu waliojaribu kupinga ushindi wangu lakini nimemteua kuwa Mkuu wa Majeshi sababu ana vigezo

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,820
4,572

Leo April 18, 2024 nchi ya Kenya imepatwa msiba mzito wa Kiongozi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi baada ya kupata ajali ya ndege. Rais Ruto amethibitisha kutokea kwa kifo hicho baada ya kupita saa kadhaa bila kuwapo kwa taarifa rasmi.

Pamoja na kuwepo kwa taarifa hizo stori kubwa nyingine iliyoibuka nchini Kenya ni ile ya May 15, 2024 ilimeanza kuzunguka kwenye vyombo vya Habari ambapo kupitia Citizen TV ya Kenya Rais Rutoo akiwa kwenye mahojiano aliwahi kusema alimteua Hayati Ogolla kuwa Mkuu wa Majeshi licha ya kuwa alikuwa mmoja kati ya watu waliopinga ushindi wake wa Urais sababu aliamini kuwa alikuwa na Vigezo kushika nafasi hiyo.

Pia Soma:
- Breaking News: - Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi iliyotokea leo Aprili 18

---
President William Ruto has shed light on why he appointed Lt. General Francis Omondi Ogolla as the new Chief of Defence Forces (CDF), a decision he says was against the opinion of many.

Speaking during a joint media interview from State House on Sunday, Ruto said that he had been advised not to reward General Ogolla with the appointment over claims that he was among the team that attempted to overturn his presidential victory in August 2022.

Ruto said that despite the latter, his qualifications outweighed his past deeds, stating that he was the best-suited candidate for the job.

"General Ogolla is among the people who went to Bomas to try and overturn my victory but because when I looked at his CV, he was the best person to be General. Many things that are part of my system overweighed what he had done," he said.

He also clarified that he is keen to make deliberate appointments and his decisions are not dictated by an individual's affiliation provided that they have a stellar track record.

"I could have appointed anybody I had I think 10 choices, people say that I appointed Ogolla because he was the deputy CDF, but that is not the case. I made the decision consciously and I made it against the advise of many people."

He further intimated that prior to the appointment he had a meeting with Ogolla who admitted that he played a part in attempting to cripple the presidential victory.

In the said meeting, Ruto said, he made it clear that he will still appoint him since he has outstanding merit.
"I called him and I sat him down. I told him my friend you went to Bomas to try and overturn my victory but because you are the best person to be general I am going to give you the job. That is how it works with me," he pointed out.

"He told me 'I have no defence you do with me whatever you want. What I did was wrong'. What exercised my mind is that yes, this gentleman might have made a mistake maybe because the commander in chief that time told him what to do."
 
Ruto told journalists last May that he appointed Ogolla despite him being among those who tried to overturn his narrow election win against opposition leader Raila Odinga in 2022. "When I looked at his CV, he was the best person to be (a) general," Ruto said, adding his decision went against the wishes of many people.
This is serious!!!!
 
General Ogolla na maofisa wengine katika msafara wake waliopoteza maisha ktk ajali hiyo mbaya ya helicopter ni pamoja Brigadier Swale Saidi, Colonel Duncan Keittany, Lieutenant Colonel David Sawe, Major George Benson Magondu, Captain Sora Mohamed, Captain Hillary Litali, Senior Sergeant John Kinyua Mureithi, Sergeant Cliphonce Omondi, na Sergeant Rose Nyawira.
 
Leo April 18, 2024 ya May 15, 2024 ilimeanza kuzunguka kwenye vyombo vya Habari ambapo kupitia Citizen TV ya Kenya Rais Rutoo akiwa kwenye mahojiano aliwahi kusema alimteua Hayati Ogolla kuwa Mkuu wa Majeshi licha ya kuwa alikuwa mmoja kati ya watu waliopinga ushindi wake wa Urais sababu aliamini kuwa alikuwa na Vigezo kushika nafasi hiyo.

Pia Soma:
- Breaking News: - Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla amefariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi iliyotokea leo Aprili 18

---
President William Ruto has shed light on why he appointed Lt. General Francis Omondi Ogolla as the new Chief of Defence Forces (CDF), a decision he says was against the opinion of many.

Speaking during a joint media interview from State House on Sunday, Ruto said that he had been advised not to reward General Ogolla with the appointment over claims that he was among the team that attempted to overturn his presidential victory in August 2022.

Ruto said that despite the latter, his qualifications outweighed his past deeds, stating that he was the best-suited candidate for the job.

"General Ogolla is among the people who went to Bomas to try and overturn my victory but because when I looked at his CV, he was the best person to be General. Many things that are part of my system overweighed what he had done," he said.

He also clarified that he is keen to make deliberate appointments and his decisions are not dictated by an individual's affiliation provided that they have a stellar track record.

"I could have appointed anybody I had I think 10 choices, people say that I appointed Ogolla because he was the deputy CDF, but that is not the case. I made the decision consciously and I made it against the advise of many people."

He further intimated that prior to the appointment he had a meeting with Ogolla who admitted that he played a part in attempting to cripple the presidential victory.

In the said meeting, Ruto said, he made it clear that he will still appoint him since he has outstanding merit.
"I called him and I sat him down. I told him my friend you went to Bomas to try and overturn my victory but because you are the best person to be general I am going to give you the job. That is how it works with me," he pointed out.

"He told me 'I have no defence you do with me whatever you want. What I did was wrong'. What exercised my mind is that yes, this gentleman might have made a mistake maybe because the commander in chief that time told him what to do."
Hatari sana
 
General Ogolla na maofisa wengine katika msafara wake waliopoteza maisha ktk ajali hiyo mbaya ya helicopter ni pamoja Brigadier Swale Saidi, Colonel Duncan Keittany, Lieutenant Colonel David Sawe, Major George Benson Magondu, Captain Sora Mohamed, Captain Hillary Litali, Senior Sergeant John Kinyua Mureithi, Sergeant Cliphonce Omondi, na Sergeant Rose Nyawira.

Toka Maktaba :

29 February 2024

HALI YA USALAMA KAUNTI ZA POKOT

Mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing anasema kuwa majangili wamebadili mbinu na wanafanya mashambulio majira ya mchana.

“Wanalenga watoto na akina mama ambao hawana hatia. Watoto ni watu ambao hawana uwezo wa kujikinga. Hawana nguvu wakati wanavamiwa,” alisema Pkosing.

Bw Pkosing ambaye ameghabishwa na kiwango cha juu cha utekaji nyara, alisema kuwa hali hiyo huenda ikawa mbaya zaidi ikiwa serikali haitachukua hatia.

“Kukiwa na matukio kama haya, tunaharibu matunda ambayo tumepata kuhusu kuwarai wakazi kupeleka watoto shuleni. Sababu kutokana na hali hii ya utekaji nyara, wazazi hawataruhusu wana wao kuenda shule,” alisema.

Alisema kuwa utekaji nyara bado unaendelea licha ya fedha kuwekwa kwenye bajeti ya usalama ambayo inafaa kuwa na upepelezi wa hali juu na kuzuia uhalifu wa aina hiyo.

“Kuna haja ya maafisa wa usalama kuhakikisha kuwa wanabuni mbinu za kuweka usalama shuleni,” alisema Bw Pkosing.

Seneta wa kaunti ya Pokot Magharibi Julius Murgor anashangazwa na kinachofanyika katika jamii.

Kulingana na Bw Murgor, majangili wanaisababishia jamii kilio kikubwa.

“Majangili hao hulenga wasiojiweza. Wao hulenga mtu, eneo ama umma ambao haujalindwa,” alisema Bw Murgor.

Kamanda wa polisi wa kaunti ya Pokot Magharibi Peter Kattam, anasema kuwa maafisa wa usalama wanalenga kuharibu maficho ya majangili ambayo hutumika na wakora kupanga mashambulio katika eneo la Bonde la Kerio.

“Tunalenga vigogo wao na tunapanga kuwakamata. Wanajihusisha kwa kuwapa mafunzo watu wawe majangili, wezi wa mifugo na wauaji,” alisema Bw Kattam.

Kamishina wa kaunti hiyo Khalif Abdulahi anasema anawajibikia kazi yake, lengo likiwa ni kunyamazisha milio ya risasi katika eneo hilo.

TATIZO LA WEZI WA MIFUGO NA MAPIGANO YA KUTAFUTA MALISHO YA MIFUGO NCHINI KENYA

View: https://m.youtube.com/watch?v=siqWk7fOC2A
 
Back
Top Bottom