Rais Ruto amteua Luteni Jenerali Francis Ogolla kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
20230428_143211.jpg
Rais William Ruto amempandisha cheo Francis Omondi Ogolla mpaka kwenye hadhi ya Luteni Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya.

Jenerali Omondi anachukua nafasi ya Robert Kibochi aliyeteuliwa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta mwaka 2020.

===========

Kabla ya Uteuzi huu, Jenerali Ogolla alikuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

Pia, amemteua Luteni Jenerali Jonah Mwangi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama ya Nchi hiyo.

Watu wengine waliopandishwa vyeo ni Meja Jenerali Said Farah aliyeteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha cha Ulinzi, Brigedia David Kipkemboi kuwa Meja Jenerali na ACDF P&L pamoja na Brigedia Stephen James Mutuku kuwa Meja Jenerali na Senior Directing Staff kwenye Chuo cha Ulinzi cha Taifa.

===========

President William Ruto has now appointed Lt. General Francis Omondi Ogolla as the new Chief of Defence Forces, replacing General Robert Kariuki Kibochi whose tenure has come to an end.

General Ogolla was, until the appointment announced on Friday, serving as the Vice Chief of the Defence Forces (VCDF).

General Kibochi, according to a circular from the Ministry of Defence, exits after serving in the military for 44 years.

“His Excellency Dr. William Ruto, President of the Republic of Kenya, and Commander-in-Chief of the Defence Forces, pursuant to Section 9 (2), (a) of the Kenya Defence Forces Act, has today promoted Lieutenant General Francis Omondi Ogolla to the rank of General and appointed him Chief of the Defence Forces (CDF),” read the circular.

President Ruto, in the military changes, also tapped National Defence University Vice Chancellor Lieutenant General Jonah Mwangi to step into Gen. Ogolla’s former role as VCDF.

He then promoted Major General Said Farah to Vice Chancellor of the National Defence University.
Brigadier David Kipkemboi Keter was promoted to Major General and appointed Assistant Chief of the Defence Forces Personnel and Logistics (ACDF P&L).

The Head of State promoted Brigadier Stephen James Mutuku to Major General and appointed him as Senior Directing Staff (Army) at the National Defence College.

Brigadier John Maison Nkoimo rises to Major General rank and has been appointed Commandant Joint Command Staff College (JCSC).

Brigadier Abdulkadir Mohammed Burje was elevated to Major General and takes up a new posting as Director Military Intelligence (DMI), while Brigadier Paul Owuor Otieno – also now a Major General – was appointed Managing Director at Kenya Shipyards Limited in the raft of changes.

Citizen
 
Vurugu za Kenya zinaashiria kuwa Katiba mpya sio suluhisho la matatizo ya kisiasa kama matapeli wanavyojaribu kututapeli

Shida haiko kwenye katiba balii iko kwenye kuiheshimu, kuilinda na kuifuata katiba!!! Hata kama Kikwete asingeihujumu ile iliyopendekezwa na wananchi, kama hakungekuwa na utashi wa kuiheshimu ingekuwa kazi bure!! Ili katiba iheshimiwe ni lazima kuwe na Taasisi imara na zenye nguvu especially Mahakama , Bunge na vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Kesi ya huko mashariki ya Kongo ,ni ngumu bila kubadili kanuni ,nahiyo ndio ilipelekea general mwakibolo kuwachakaza hao chini ya mwenyekiti wa jumuiya kikwete ...general aliyeamua kurudi Kenya yukosahihi kwamana ya mambo yalivo ,haiwezekani muwe mnaongozwa na marekani na wanaoumia sio wamarekani .
 
Shida haiko kwenye katiba balii iko kwenye kuiheshimu, kuilinda na kuifuata katiba!!! Hata kama Kikwete asingeihujumu ile iliyopendekezwa na wananchi, kama hakungekuwa na utashi wa kuiheshimu ingekuwa kazi bure!! Ili katiba iheshimiwe ni lazima kuwe na Taasisi imara na zenye nguvu especially Mahakama , Bunge na vyombo vya ulinzi na usalama!
Ukikumbuka kumsema kwa kuhujumu Mchakato wa Katiba mpya pia usisahau kumsifia kwa kuuanzisha na hadi kuufikisha pale ulipopasifia japo Chama chako kilisusia kwny hatua za awali
 
Huwezi kumsifia mtu kwa hujuma bali mtu husifiwa kwa matokeo mema!! Sawa hata kama alianzisha unajuaje pengine alifanya hivyo out of ignorance ; hakujua kwa wakati ule kuwa ile katiba ingeweza kumuathiri yeye kwa maamuzi yake alipokuwa madarakani!
Alipokuja kustuliwa na chawa wake kuwa ile katiba ingepitishwa yangempata yaliyomkuta Zuma huko bondeni ndio akaiweka rasimu ile kwapani
 
Rais William Ruto amempandisha cheo Francis Omondi Ogolla mpaka kwenye hadhi ya Luteni Jenerali na kumteua Moja kwa Moja kuwa mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya.

Jenerali Omondi anachukua nafasi ya Robert Kibochi aliyeteuliwa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta mwaka 2020.

===========

Kabla ya Uteuzi huu, Jenerali Ogolla alikuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

Pia, amemteua Luteni Jenerali Jonah Mwangi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama ya Nchi hiyo.

Watu wengine waliopandishwa vyeo ni Meja Jenerali Said Farah aliyeteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha cha Ulinzi, Brigedia David Kipkemboi kuwa Meja Jenerali na ACDF P&L pamoja na Brigedia Stephen James Mutuku kuwa Meja Jenerali na Senior Directing Staff kwenye Chuo cha Ulinzi cha Taifa.

===========

President William Ruto has now appointed Lt. General Francis Omondi Ogolla as the new Chief of Defence Forces, replacing General Robert Kariuki Kibochi whose tenure has come to an end.

General Ogolla was, until the appointment announced on Friday, serving as the Vice Chief of the Defence Forces (VCDF).

General Kibochi, according to a circular from the Ministry of Defence, exits after serving in the military for 44 years.

“His Excellency Dr. William Ruto, President of the Republic of Kenya, and Commander-in-Chief of the Defence Forces, pursuant to Section 9 (2), (a) of the Kenya Defence Forces Act, has today promoted Lieutenant General Francis Omondi Ogolla to the rank of General and appointed him Chief of the Defence Forces (CDF),” read the circular.

President Ruto, in the military changes, also tapped National Defence University Vice Chancellor Lieutenant General Jonah Mwangi to step into Gen. Ogolla’s former role as VCDF.

He then promoted Major General Said Farah to Vice Chancellor of the National Defence University.
Brigadier David Kipkemboi Keter was promoted to Major General and appointed Assistant Chief of the Defence Forces Personnel and Logistics (ACDF P&L).

The Head of State promoted Brigadier Stephen James Mutuku to Major General and appointed him as Senior Directing Staff (Army) at the National Defence College.

Brigadier John Maison Nkoimo rises to Major General rank and has been appointed Commandant Joint Command Staff College (JCSC).

Brigadier Abdulkadir Mohammed Burje was elevated to Major General and takes up a new posting as Director Military Intelligence (DMI), while Brigadier Paul Owuor Otieno – also now a Major General – was appointed Managing Director at Kenya Shipyards Limited in the raft of changes.

Citizen
Kwa Kenya kwa ukabila wao, hiyo nafasi inamfaa Msomali tu.
 
Ndicho wslichokuwa wanafanya kenya diku za nyuma.

Mkuunwa majeshi Msomali Mkuu wa polisi Msomali, Spika wa bunge lao alikuwa Msomali. Ilikuwa inasaidia sana kupunguza tatizo lao la ukabila sehemu hizo nyeti.
Point
 
Tusaidie majina ya spika wa bunge na mkuu wa majeshi Msomali
 
Back
Top Bottom