Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,656
- 9,479
Haya maelezo yake yanaunganisha dots kuhusu ajali hii. Trust nobody. Mtu akishakuwa Naibu Mkuu wa Majeshi alikuwa hana pa kumpeleka maana cheo cha mwisho kabla ya kuwa CDF.
It was a matter of time maana hakuna cheo angepatiwa kingesuffice CV ya marehemu unless ingekuwa bongo yetu angepewa ubalozi but kwa katiba ya wenzetu mambo ipo tofauti kidogo.
RIP the fallen General. DOM