malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,781
- 2,725
Habar wakuu, mimi ni baba wa watoto wa 3, niko 35 mke 31, hapo awali miaka 4 nyuma wazazi walikua wakinambia tabia za mke ambazo ni za maneno na umbeya yaani anazungumza mambo yanayohusu wazazi wangu ndugu zake na mashost zake anazungumza maneno mabaya.
Sasa watu huhadithiana yanafika nikimuuliza anakataa. Inabidi nazungumza na namuelimisha namna maisha yalivyo.
Sasa bana kumbe tabia haikukoma, kumbe amekua akichat na ndugu zake hasa dada yake, chats za kusema wazazi wangu.
Mke wangu alishawahi kosea sms ikaja kwangu kama mara mbili sikusema chochote.
Majuzi asubuhi asubuhi nimekaa zangu kabla sijatoka home alikua anachat tu na sms zinaingia naskia anavochati
Kumbe anachat na dada yake bahati nzuri akakosea kusend sms moja ikaja kwangu akimhadithia dada yake jinsi mambo mabaya kuhusu mama yangu yaani hampendi.
Nawaza naona kama nimke ambae hanifai, alishawahi kuwekwa kikao kwa mambo haya lakini naona kama habadiliki uswahili roho mbaya vimemjaa.
Sasa mke alivyomnafiki ukimkuta na mzazi wangu wakike anavyoact kama kweli vile anamkubali.
Wakuu ushauri wenu.