Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,687
- 21,259
Mambo ya Mama yangu ukayaseme Nje? Huo ni Utovu wa nidhamu na hauna msamaha mwepesi kama ambavyo unayaka tukueleweMama yako ni binadamu pia huenda ana mapungufu yake ambayo mkeo ameyaona na ametaka kuyajadili na wewe ila sababu ya namna utapokea vibaya ameona akae kimya ila amekwenda kuongelea nje.
Ukiolewa jitahidi sana Kuwa part ya familia, aibu za familia tuzilinde kwa pamoja.
Tujifunze kwa Warabu na Wahindi