Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habar wakuu, mimi ni baba wa watoto wa 3, niko 35 mke 31, hapo awali miaka 4 nyuma wazazi walikua wakinambia tabia za mke ambazo ni za maneno na umbeya yaani anazungumza mambo yanayohusu wazazi wangu ndugu zake na mashost zake anazungumza maneno mabaya.

Sasa watu huhadithiana yanafika nikimuuliza anakataa. Inabidi nazungumza na namuelimisha namna maisha yalivyo.

Sasa bana kumbe tabia haikukoma, kumbe amekua akichat na ndugu zake hasa dada yake, chats za kusema wazazi wangu.

Mke wangu alishawahi kosea sms ikaja kwangu kama mara mbili sikusema chochote.

Majuzi asubuhi asubuhi nimekaa zangu kabla sijatoka home alikua anachat tu na sms zinaingia naskia anavochati

Kumbe anachat na dada yake bahati nzuri akakosea kusend sms moja ikaja kwangu akimhadithia dada yake jinsi mambo mabaya kuhusu mama yangu yaani hampendi.

Nawaza naona kama nimke ambae hanifai, alishawahi kuwekwa kikao kwa mambo haya lakini naona kama habadiliki uswahili roho mbaya vimemjaa.

Sasa mke alivyomnafiki ukimkuta na mzazi wangu wakike anavyoact kama kweli vile anamkubali.

Wakuu ushauri wenu.
 
Mpe likizo bila malipo,ukikaa kimya atakuona poyoyo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ongea nae,umuulize ni kitu gani hasa kinamsumbua,jaribu kutafuta chanzo cha tatizo hilo,lakini nikuulize kitu wewe unajuaje kiwa huwa anachati na hao dada zake?
pia ni vizuri uwaite hao dada zake na muongelee jambo hili kwa pamoja,utapata ufumbuzi wa suala hili,maisha ni kusameheana
 
.Sasa mke alivyomnafiki ukimkuta na mzazi wangu wakike anavyoact kama kweli vile anamkubali.
Hakuna viumbe wanafiki kama Ke, wanakumbatiana na kushikana na kuitana majina mazuri yanayoashiria upendo ila ndani yao wengi hawamaanishi wananafikiana tu. Wengi hawapo real

Sisi wanaume tunaitana majina ya hovyo ila tupo real na tuna upendo sana.

Huyo mkeo ana roho ya chuki, mwambie anakosea ipo siku nayeye atakuwa mama mkwe.
 
Kuna mda upo serious kumbe..
Kule tuu ndo unajichetua akili hizo ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom