claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 267
- 408
- Thread starter
- #61
Tabata SegereaUnapatikana wapi
Tabata SegereaUnapatikana wapi
poaNitafute 0719300381
Mwamba kakaribisha mtu mwenye wazo yeye alifanyie Kaz kwa gharama zake ila tu mwenye wazo awe tayari kulifanyia marketing liuzike, sasa huu ushauri mwingine ni kukoseana tu adabuHakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
28/JulyHakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
upo sahihi saana kakaHuenda tunajua vitu vingi sana katika programming but kuchagua niche ya project ambayo ita kuingizia pesa ndio inafanya watu washindwe kupiga pesa
Some of Ideas
Create app ambayo itatatua changamoto na kuleta solutions kwa watu wanaohitaji msaada fulani au inayo wagusa watu moja kwa moja eg Mazoezi, Umbea etc
Monetization method tumia In app purchases.. Usi-run ads, admob or anything. Tumia only IAP as well as paid apps in IOS store
Kuhusu app yako ili iwahi kujulikana na watu kwa haraka basi utatumia paid sponsor adds in Facebook or Instagram
Huenda tunajua vitu vingi sana katika programming but kuchagua niche ya project ambayo ita kuingizia pesa ndio inafanya watu washindwe kupiga pesa
Tatizo la IT ni kujua kutumia Codes mambo mengine hawajui.Fanya kazi zifuatazo
1. Sales copy writer
2. Kuwa mwanasheria na wakili
3. Kuwa mwalimu
4. Kuwa mwandishi
5. Kuwa muongoza watalii (tour guider)
Tengeneza site (sababu wewe ni web developer) za mojawapo ya kazi nilizokushauri hapo juu na uwe boss mwenyewe
Ni kweli nimeona wewe siyo mpenda hela kama ambavyo umetangaza kwenye hoja yako kwamba utafanya kazi Bure partner awe na idea na mtaji wa marketing! Ni kweli nimeona kwa asili kabisa hela siyo vitu unavyovipa vipaumbele sana!
50% ya Watz hawanunui app. Wewe mate wa ofisini kwenu wananunua app?upo sahihi sana kama
upo sahihi saana kaka
Miti7 mi 10/03.Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
900kwhat is yor price kwa simple app moja
I mean simple app like this....
1. Home screen: User can add/edit/delete expense
2. Contact us page: when they click that, their Gmail app will open and send me an email
3. Handling 1 simple in-app purchase, if user didn't purchase the app, then we show ads
Unaweza kuwa unahangaika kumbe umekosea fani.Naona tumejazana hapa. 🤣🤣
Kwahiyo boss umeshindwa hata kutofautisha mySql na no Sql database.karibu yoote hayo nilishayapitiaa nina ideas nayo sasa nitasomaje sql wakati tayari nafahamu mysql? firebase naifahamu
dah mbona sijasoma inamaa hapo basi siwezi toboa kimaisha?Researcher, engineer, market analysist, financial advisor, sexologist (mshauri wa Mapenzi na mahusiano), askari mpelelezi, daktari wa upasuaji
ni kwel mzee,wafanye kwa ushilikianoTatizo la IT ni kujua kutumia Codes mambo mengine hawajui.
Vacuum ya IT ni kukosa content ya hayo mambo mengine uliotaja.
Kwa hio IT anamuhitaji mwalimu ili mwalimu atengeneze kontent ili IT atengenezee code aunde app.
Makampuni ya wenzetu yanafanya kazi kwa TEAM yenye watu wenye ujuzi tofauti hivyo basi hayakosi cha kufanya.
IT jiungeni na wabunifu na taalumabali mbali ili mtengeneze kitu.
Binafsi nimeliona hilo ombwe, ila halipo kwa Kwa watu waliosoma IT na fani nyingine kwa mpigo mfano IS with maths, au finance au engineering.
Mimi nashauri vijana wanaosoma IT wasome na ujuzimwingine, mfano ukidoma UT ukasoma na english au kiswahili unaweza unda education app wewe mwenyewe bila kumtegemea mtu nwingine ajazie ujuzi.
Soma markerting na IT utaogelea vizuri sana kwenye biashara.
acha ujuaji SQL works with many different database systems, so it's not specific to MySQL, but it's a language to know if you want to use MySQL. SQL is also the default query language used by MySQL, so it's easy to learn how to use MySQL without having to learn another language too.Kwahiyo boss umeshindwa hata kutofautisha mySql na no Sql database.
Idea itaeleweka kweli?!!!
0746815931Njoo kiongozi tutengeneze app yetu ya fantasy 6 Tz, unajua kiongozi SOKA la kibongo limekua Kwa kasi na katika mashabiki wa SOKA wengi ni watumiaji wa smartphone .
Hapa Kwa kila wiki zinachaguliwa mechi sita za ligi kuu Tanzania za Kibabe hivyo watumiaji wanatakiwa kuchagua mchezaji mmoja ambaye atavuka Lengo la point zake tulizolimit . Mwisho mechi zote zikimalizika watumiaji watapata jumla ya point zao na kuwekwa kwenye ubao wa washindi( leaderboard).
Tunaweza kupanga kama tutaweka jackpot ya wiki, mwezi na msimu mzima . Watumiaji wanaweza ku subscribe labda 300 Tzs Kwa mwezi hii ni moja ya njia ya kumonetize ,pia kupitia adds mbalimbali zitakazo play ndani ya app.
Hii ni kama abstract tu ukitaka maelezo zaidi nicheki inbox nikufafanulie na tuyajenge zaidi.