Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

Nina wazo ila sjui pa kuanzia Tanzania Kuna watu 60M kwa mujibu wa takwimu za sensa 2022 ,,watumiaji wa smartphone ni 27% ya hao watu million 60 ,,nikawaza kama nikipata 1% ya watanzania wanaotumia smartphone nikadevelop kitu ambacho hii asilimia 1% ya watanzania wataweza kuchangia 500 per month throughout the year nikaona I can make a handsome amount of money wazo likaishia hapo ila bado naendelea kuchimba

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
hilo wazo ndo ushare hapa kaka au nikufuate inbox?
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Sales copy writer
2. Kuwa mwanasheria na wakili
3. Kuwa mwalimu
4. Kuwa mwandishi
5. Kuwa muongoza watalii (tour guider)

Tengeneza site (sababu wewe ni web developer) za mojawapo ya kazi nilizokushauri hapo juu na uwe boss mwenyewe

Ni kweli nimeona wewe siyo mpenda hela kama ambavyo umetangaza kwenye hoja yako kwamba utafanya kazi Bure partner awe na idea na mtaji wa marketing! Ni kweli nimeona kwa asili kabisa hela siyo vitu unavyovipa vipaumbele sana!
Asante mkuu ngoja nilifanyie kazi hilli
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Kuwa mwanamuziki
2. Kuwa muandaaji wa matamasha mbalimbali ya muziki na burudani na sherehe mbalimbali
3. Kuwa DJ
4. Fanya kazi yoyote inayohusiana na wasanii
5. Kuwa kiongozi wa wasanii
6. Fanya SHUGHULI yoyote inayohusiana na burudani

Ukitaka ufanikiwe zaidi fanya kazi hizo ukishirikiana na wengine na siyo peke yako

Pia punguza majisifu (ego)
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development

14/7
 
14/07/1994
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Sawa mpaka sasa umefanya Project ngapi?
 
Fanya kazi zifuatazo

1. Kuwa nesi (nurse)
2. Kuwa mwanasiasa
3. Kuwa mwandishi wa habari

*Utafanikiwa kirahisi ukifanya kazi ukiwa peke yako (solitude)

* Punguza huruma

Mbili na tatu ni sawa ila Kwa nurse tarehe yake life path nyota haviruhusu...
Tarehe 14 ambayo ki numerology ni 5 inayo ongozwa na mercury (Sayari ya Mawasiliano)..

So maybe awe nurse muongeaji kuliko vitendo..

Pia Life path yake kulingna na siku ,mwezi na mwaka aliozaliwa ni 8.. na 8 inaongozwa na sayari ya saturn
So Saturn ni Sayari ya uongozi hivyo huyu ni kiongozi wa asili hata ukimweka aongozwe lazima atatoa mapendekezo kwa kiongozi jinsi ya kuongoza...

Kwakuwa yye ni born leader au natural leader Na kiongozi wa organisation

So kwa Nurse hapana
 
Mimi situmii life path number wala sayari au nyota kama unavyoeleza wewe
 
Mimi situmii life path number wala sayari au nyota kama unavyoeleza wewe
Unatumia nini Mkuu maana elimu zote za utambuzi zinatoka kwenye number(Numerology) then ndo zinagawanyika kutokana na tawala za namba..

Na mkuu hapo sijatumia Nyota
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
25/09
 
Back
Top Bottom