Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

Nina wazo moja kali sana, kind of Million Dollar Idea.

Wazo langu nimelenga kutoa solution ya tatizo moja ambalo ni Pain Point kwa Tanzania na uzuri Data zinavutia sana.

Nimefanya Ui Designing yake Sasa hivi nataka kutengeneza Audience ya users kwenye mitandao yaa kijamii, hao watu nitawatumia Kama Testing na Primary users kwenye platform, na kwasababu ni very pain point problem users wapo wengi sana na problem inazidi siku baada ya siku.

Monetization
Njia ya kwanza nimelenga paying users kupitia user subscription kwenye App, Solution ina potential ya kufikisha 100K downloads/Users, lengo kila users aweze kulipia 2000 kwa mwezi kutumia App.

MVP (Minimum Viable Product)
Hii solution mpaka sasa kuna watu wanaofanya kupitia njia ya Social Networks na kuna jamaa anaingiza sichini ya 50,000/Day kwa kuifanya IG na WhatsApp hii inaonesha Users wapo tayari kulipa kwa hii solution.

Ishu kamba lazima nitengene Audience kwanza kama tutakuwa serious ndani ya kama mwaka hivi kuwa na primary users wa kutosha tu-develop App tuwaamishie humo Users, secondary users tutafanya Paying Aids.
 
1. Human resources manager
2. Detective
3. Lawyer
4. Counseling
5. Stylist
6. Art dealer
7. Interior designer
8. Event planner

Utafanikiwa zaidi ukiwa bize na mambo yanayohusu Urembo (beauty)

Ila uache tabia ya kupenda kujihukumu mwenyewe (self pity).

Jikubali, jipende, penda hata madhaifu yako (love your dark side).

Urembo, Mapenzi na hela ndiyo mambo yako uliyopewa na Mungu
 
Lakini Angelogy pia ipo kwenye somo la number pia
Yule bwana ni cancer, Hawa watu wamebarikiwa kuwa na roho ya asili ya kujali wengine (care for others) na Wana-feel emotions za wengine, Kwahiyo kuwa nesi kwake ni sahihi sababu huwezi kuwa nesi bila kuwa na roho ya kujali wengine
 
Haya mkuu
 
12.4
 
Tarehe 12 mwezi wa 4

1. Sales manager
2. Entrepreneur
3. Marketing manager
4. Sports star
5. Tour guide
6. Fashion stylist
7. Fire fighter
8. Emergency first aid responder
9. Surgeon
10. Police officer

* Kumbuka kutenga muda wa kupumzika

* Acha tabia ya kutumia pesa hovyo

* Pata mwanaume anayependa kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
 
🙌
 
Nina wazo moja kali sana, kind of Million Dollar Idea.

Wazo langu nimelenga kutoa solution ya tatizo moja ambalo ni Pain Point kwa Tanzania na uzuri Data zinavutia sana.

Nimefanya Ui Designing yake Sasa hivi nataka kutengeneza Audience ya users kwenye mitandao yaa kijamii, hao watu nitawatumia Kama Testing na Primary users kwenye platform, na kwasababu ni very pain point problem users wapo wengi sana na problem inazidi siku baada ya siku.

Monetization
Njia ya kwanza nimelenga paying users kupitia user subscription kwenye App, Solution ina potential ya kufikisha 100K downloads/Users, lengo kila users aweze kulipia 2000 kwa mwezi kutumia App.

MVP (Minimum Viable Product)
Hii solution mpaka sasa kuna watu wanaofanya kupitia njia ya Social Networks na kuna jamaa anaingiza sichini ya 50,000/Day kwa kuifanya IG na WhatsApp hii inaonesha Users wapo tayari kulipa kwa hii solution.

Ishu kamba lazima nitengene Audience kwanza kama tutakuwa serious ndani ya kama mwaka hivi kuwa na primary users wa kutosha tu-develop App tuwaamishie humo Users, secondary users tutafanya Paying Aids.
Mkuu,Umeandika mambo mengi sana.Unajua Ugumu na Urahisi wa kupata 100k downloads?Anyway Umejiuliza iwapo hio pain point solution yake ni Application?Kama ni ndio Je umejiuliza iwapo hao ambao tayari wanasolve hilo TATIZO kwa njia za kawaida iwapo hawajaona uhitaji wa App.Binafsi nakushauri kama changamoto yako ni Primary USERS basi unaweza kuwatumia hao watu ambao tayari wanasolve hilo TATIZO kama gateway ya kufikia hao Primary users
 
Mkuu,Umeandika mambo mengi sana.Unajua Ugumu na Urahisi wa kupata 100k downloads?
Kupata 100K sio kazi rahisi ila App yeyote iliyo serious inaseti target yake hapo, pia kwa uhutaji wa solution hio namba ni attainable through not easy as i put.
Anyway Umejiuliza iwapo hio pain point solution yake ni Application?Kama ni ndio Je umejiuliza iwapo hao ambao tayari wanasolve hilo TATIZO kwa njia za kawaida iwapo hawajaona uhitaji wa App.
Kuna App ambao zina exist mpaka sasa zinazotoa solution hiohio si jambo jipya what's new ni Business Model, nimejaribu kupitia hizo App zaidi ya 20 zote hakuna iliyo lenga kutatua tatizo harisi (Pain point), I mean wamelenga 10% ya tarthet market na kuacha 90% ya target market iliyopo sokoni may be hawakufanya reserch au hawajui nini hasa wanatatua au hawakuwai kua sehemu ya tatizo.

Hawa walio tatua tatizo kupitia Social Networks ndio wanaotatua tatizo kwa 100% I mean target market yote wanaifikia mpaka ile 80% suala hawajaamua may be kutatua tatizo kwa ukubwa kupitia App, kutegengeza App ni uache kazi ufanye kazi si sual la kuamua.
nakushauri kama changamoto yako ni Primary USERS basi unaweza kuwatumia hao watu ambao tayari wanasolve hilo TATIZO kama gateway ya kufikia hao Primary users
Hili ulilosema ni moja ya strategy yangu na hipo mpaka kwenye paper nimeandika ila hii ni hatua nyengine niliyodhamailia baada ya kwanza, yakwanza ni Kutafuta hao primary user mimi mwenyewe na si kumtegemea mtu.

kwanza sitakuwa na authority, Kuna mambo mengi moja inabidi nijuane na agencies fulani hivi katika mchakato mzima ambazo zitanisaidia baadae nk

Kingine hawa jamaa pia sio rahisi kukubali wao kuungana katika plan yangu hii ndio maana nimewaweka Kama second option, pia primary usera nawategemea kama System Tester na Marketing Strategy kwa Second users sio lazima wawe wengi hata 1000 wanatosha.

Kingine katika mchakato wa kutengeneza hawa primary user Mimi mwenyewe pia at the time wananitengenezea pesa kwasababu wanalipa huduma hizi pesa zitanisaidia kwenye maeneo mengi Once nikishakua na system.

Ni serious plan that why sina haraka nayo mzee na sitegemei inipe pesa ya kula kwamba niifanyefanye tu.
 
Mkuu,una wazo na mpango mzuri All the best
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Nitafute 0719300381
 
Back
Top Bottom