Mapenzi ya mbali yanadumu kweli?

Hivi mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kweli.

Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Fimbo ya mbali haiui nyoka mkuu...
Mapenzi ya mbali yatadumu endapo Tu hamtakuja na wivu lakini ukweli n Kwanza kuchepuka n lazima
 
HivišŸ¤” mapenz ya kuwa mbali na mtu yanadumu kwelišŸ¤·.

Au ndo inahitajika ushirikiano hasa uaminifu kwa kutochepuka mapenzi nisaidie jamani
Inshort mapenzi hayana tofauti na bluetooth au Wi-fi, device iliyopo karibu ndio inaconnect.

Jiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom