Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,593
3,980
Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi.

Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala nini.

Lakini kwa asiye na upendo wa dhati hata denda hakupi. Ukimsogelea tu harufu ya kawaida ya mwili wako inamkata mastimu, hata kama umeoga na kupiga mswaki. Ile natura body smell yako inamkerahisha.

From the molecular biology it is verified that love is triggered by the compatibility of molecules of body scents (pheromones).

Mapenzi ni uchafu ni dhana pekee iliyofanikiwa kuwa kipimo sahihi cha mapenzi ya dhati.
 
Sio Kweli, sio lazima mfanye uchafu wa kulambana sehemu za Siri ndo ibainike kuwa mnapendana kwa dhati.
Ukiona unaona kinyaa, hamjaendana kimapenzi kuanzia level ya ndani ya mwili (molecules za pheromones)
 
Nadhani ndio maana mtoto nina waka nae sana huyo. Ile morning after the first night together, tulikiss bila kupiga mswaki kitu ambacho kila siku huwa ananiambia why haikuwa ngumu na ilikuwa kawaida sana.

Aisee.
 
Back
Top Bottom