Harakati tu za maisha zimeniweka mbali na Jf, siku hizi kupitisha hata miezi 3 bila kutumia Jf ishakuwa kawaidaHatujambo Bitoz tumefurahi kukuona
Nipo mwanangu, kitambo sanaEbana eehh.. Kitambo saana ndugu yangu.
Bitozi nyangema
Ni kitambo kweli, harakati vipi lakini mzee?Nipo mwanangu, kitambo sana
Auntie yangu mzuriii mzuriiiEndelea kuhangaika.
Uzuri unanijua vizuri sanaaa tuna miaka ya mahusiano kama tunasomea u DrNikitaka nishangae kwamba likizo yetu na umepata kipozeo
HahahahahaUzuri unanijua vizuru sanaaa tuna miaka ya mahusiano kama tunasomea u Dr
Eeh jirani imekuaje tenaNyumba inayodaiwa kuwa ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam, imekamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada, ili kulipa deni la malimbikizo ya mishahara ya waliokuwa waandishi na wahariri wa gazeti hilo, Sh62.7 milioni.
Nyumba hiyo ya ghorofa moja iliyoko katika kiwanja namba 9, Mtaa wa Feza, barabara ya Chipata, Mikocheni A imekamatwa leo Jumatano, Februari 28, 2024 na dalali wa mahakama, kampuni ya udalali ya MM Auctioneer & Debt Collectors.
Dalali huyo alifika katika nyumba hiyo saa 3:40 na kuegesha gari lake nje ya geti la nyumba hiyo.
Baada ya muda mfupi Dadley, ambaye ni mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alitoka nje na kumfuata dalali huyo na baada ya kusalimiana, dalali huyo alijitambulisha na jukumu alilokwenda kulitekeleza.View attachment 2919178
Mkuu Shunie mambo vipiJe wajua inakujia na shunie shunieView attachment 2906770
Niambie mrembo wetu!!Auntie yangu mzuriii mzuriii
Safi tu, mkubwa MunguNi kitambo kweli, harakati vipi lakini mzee?
Pamoja sana mzee nyangemaSafi tu, mkubwa Mungu