TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,839
- 21,452
Hadi mifugo washazizoea kunusa na kulala chini yake, so siyo deal tena kwa washua labda kina sisi huku pangu pakavu 😂!.FAW Hongqi
View attachment 2975507
Niulize swali; hiyo gari inaunguruma kama hizi za mafuta hama inakuwaje?.