makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,783
- 1,227
SureMiaka hii kuoa wake wengi ni kujitafutia presha na magonjwa tu.
Jibu lako bwanamdogo ni kua wanawake kuvurugana ni dakika 0 tu, kwa akili ya kawaida tu huwezi waweka pamoja watazinguana.
Na wewe kipato kitashuka mno maana ukifanya hilo kwa huyu na yule atataka papo hapo bila kusubiri, wivu wivu wivu , kama hamuoni hawez jua mnaishije atajua tu ana mke mwenza.