SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,623
- 1,727
Kwa hiyo kipimo cha uhalali wa kuoa wake wengi ni kulala chumba kimoja?
Wanawake, pamoja na yote, yatupasa sisi wanaume tuishi nao kwa akili.
Hata kama mila na/au dini zinaruhusu bado sisi kama binadamu tuna hulka zetu zinazotofautiana.
Kinachozingatiwa hapo ni kanuni za maumbile na sio kwamba ukiwaoa basi wote watakuwa wanafanana katika hulka zao. Ni bora uwaweke tofauti inapobidi ili kila mmoja umtendee uadilifu kwa namna itakayomfaa.