Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

The Lastdream

JF-Expert Member
Jan 23, 2024
1,594
3,585
wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine wilaya nyingine, au wilaya moja lakini mbali mbali! Na kabla hajaoa alimtaarifu Mke wake.

Nichukulie mfano hapa ninapoishi kuna sheikh mmoja hivi ana wake wawili. Hii nyumba ya hapa ni nyumba kubwa tu yenye nafasi.

Lakini Alipo oa Mke wa pili akaenda kumtafutia sehemu nyingine huko maeneo ya chanika.

sasa kwa wajuzi naomba kujua Kwanini kama ni halali dini inaruhusu na uwezo anao Kwanini asilale nao chumba kimoja?

Kwanin wengi huwa hawakai pamoja?
Karibuni
 
Chumba kimoja? Punguza kuangalia za video za ngono
hapo ndio shida yenu wabongo. Nauliza swali unasema ngono.
Kwann halali nao chumba kimoja au hata nyumba moja vyumba tofauti?
Ulishawahi kuona mwanaume mwenye wake wawili anakaa nao nyumba moja?
Ugumu unakua wapi wakati ni halali kidini na wamekubaliana?
 
Siyo wote wanao oa mke wa pili basi mke wa kwanza anakuwa amekubaliana na hilo jambo.

Acha kukariri.
unataka kusema wanawake wote waliopo kwenye ndoa ya mitala hawapendi? Wewe wapi ulishawahi kuona wanawake walioolewa na mwanaume mmoja wanaishi nyumba moja? Unataka kusema wote hawakubaligi
 
Back
Top Bottom