Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

Ingeleta maana nzuri sana wenye wake wengi kulala nao pamoja. Tuone kama wanaweza kuwapelekea moto wa kutosha kwa pamoja
katika wanaume 100 hakuna mwanaume mwenye wake wengi analala au kuishi na wake zake nyumba moja. Hii inaleta tafsiri gani? Kwamba haya mambo yanalazimishwa au Dini ilikosea? Kuna ugumu gani wa kulala na wakeze pamoja?
 
Miaka hii kuoa wake wengi ni kujitafutia presha na magonjwa tu.

Jibu lako bwanamdogo ni kua wanawake kuvurugana ni dakika 0 tu, kwa akili ya kawaida tu huwezi waweka pamoja watazinguana.
Na wewe kipato kitashuka mno maana ukifanya hilo kwa huyu na yule atataka papo hapo bila kusubiri, wivu wivu wivu , kama hamuoni hawez jua mnaishije atajua tu ana mke mwenza.
 
mkuu unataka kusema dini au mila zetu za zamani zilikosea kufanya hivyo?
 
unaposema si jambo la kawaida una halalisha kwamba dini ilikosea au mila zetu za zamani zilikuwa zinakandamiza bila mwanamke kupenda hicho kitu?
Hapa mambo ya dini yanatoka wapi? Asili ya maumbile mwanaume ni mtu wa mitala hata kabla ya hizo dini, lakini kwa kuwa ana akili na utashi ndio maana hafanyi kama wanyama
 
ok kwa kuwa dini umekataa tuongelee asili hiyo hiyo.
Kama ni asili ya mwanaume Kwanini asili hii isiwe jambo la kawaida. Kwanini wanawake hawawezi kuishi ndani ya chumba kimoja na mwanaume?
 
Kwaiyo mtume Mohammad alikua anapiga 3some au unataka kusemaje kijana
haya ni maneno yako.
Ninachotaka kujua Kwann halali nao sehemu moja? Kama ni asili kwann asili hii ya mwanaume isiwe jambo la kawaida? Maana huwezi kupingana na asili. Kwann wanaume wengi wanasema ni jambo la asili wakati wanawake inaonyeshwa hawapendezewi na hilo jambo?
 
Kwanza wewe umeoa? Kama umeoa mke mmoja basi ongeza wa pili ulale nao chumba kimoja na utapata majibu sahihi zaidi ya hapa jamii forum. Kama hujao basi acha kurukia mambo ya mbele oa kwanza.

Angalizo:
Video za ngono sijui za stepmom and step son, stepsister, granny, 3some, zile ni title tu, mtakuja kupata laana mbaya sana mki apply kiukweli ukweli.
 
wapumbavu kama wewe hawakosekani. Haya kunywa dawa mkuu ulale
 
unaposema si jambo la kawaida una halalisha kwamba dini ilikosea au mila zetu za zamani zilikuwa zinakandamiza bila mwanamke kupenda hicho kitu?
Maisha ya zamani ni tofauti na sasa, tuanzie na dini iliyoruhusu....imeanzia uarabuni, walikuwa na mila zao za wake wengi, Kwa wakati huo gharama ya kutunza mke ilikuwa ndogo, ni chakula tu, mavazi ya nini mke hata haruhusiwi kutoka nje, mnazaa hamna gharama za Ada za watoto wala picnic......tena Uislamu ulileta mwisho wake wanne ili kuwalimit watu, watu walioa hadi wake 20.

Turudi Afrika, gharama ya kuoa ilikuwa ni kumpa mke boma na Shamba, chakula angejitafutia mwenyewe......ndo maana kigezo cha uchapakazi kilikuwa muhimu kwenye kuchagua mchumba......Kwa hiyo mwanaume akiweza kukata Pori angejiolea atakavyo, hapo bado hajarithi wake wa ndugu zake.
Hakukuwa na gharama za mavazi, Ada za watoto, mawigi wala picnic za Zanzibar.
Sasa hivi maisha yamebadilika, gharama za maisha zimepanda......is wake wengi kila mtu anataka mwanae asome Tusiime, kila mtu anataka less wig la milioni, huyu ukimnunulia gari na huyu anataka......afu uwaweke nyumba moja🤣🤣🤣🤣 huyo mmoja tu mnakataa ndoa🤣
 
Wataoneana wivu, endapo mmoja anakata viuno ka feni mbofu na kutoa mlio ka wa lori la FIAT likipanda mlima ili hali mwenzie ni kama wale wa ukanda ulee hawana mbwembwee, wanakwambia we tumia ukimaliza funika na hana ata miguno ya mahabati
 
Mkuu hili sio swali langu kabisa.

Yaani ni Hivi huyu sheikh ana uwezo ndio maana kaoa Mke wa pili, kinashonishangaza sijawahi kuona mwanaume mwenye Mke zaidi ya mmoja akilala nao ndani ya nyumba moja! Sijui kama umenielewa mkuu?
Shida ipo wapi Kwanini asilale nao nyumba moja? Achana na masuala ya gharama maana kwenda kumtafutia nyumba nyingine ni kuonyesha uwezo alionao.
Sasa swali kwanini hawezi kulala nao chumba kimoja?
 
Wataoneana wivu, endapo mmoja anakata viuno ka feni mbofu na kutoa mlio ka wa lori la FIAT likipanda mlima ili hali mwenzie ni kama wale wa ukanda ulee hawana mbwembwee, wanakwambia we tumia ukimaliza funika na hana ata miguno ya mahabati
Mkuu Embu Toa hitimisho sasa?
Najaribu kufikiria tu kwamba halali nao chumba kimoja sababu mmoja atkua akitoa miguno na mwingine yupo tu?
 
Ingekuwa hivyo nyumbani kwa mtumwa wa Allah, ndugu Muhammad (la salaa allah ealayh wasalam) kungekuwa na platoon ya wanawake
je kwa mfalme suleimani? Wale wanawake wote kila mmoja alikuwa anafikiria mfalme akifika zamu yangu nimfurahishe ili anipe kieneo cha kusimamia
 
Back
Top Bottom