Kwanini Diamond platnumz anajitenga sana na wasanii wenzie

naona walimtuma mama dangote kuwakilisha.

sema jamaa kuna mda nao wana mashauzi sana, kama ni swala la ustaa, basi wangetuma hata managers wao walete salamu kwa niaba yao, angalau kuonesha kushirikiana na wengine kwenye majonzi na furaha, sio kujiona superbrand, hutak kuonekana public burebure, na sisi wote ni wa tz na matukio kama haya ndio huonesha thaman zetu kwa jamii.
Diva the bowse na mme wake walikwenda pale,na kuna wakati walisema kabisa wawakilishi kutoka wachafu media,akaenda Diva
 
Ila Ally kiba yuko humble sana Hana show off hata kuvaa misibani huvaa simple tu....Brand Brand mavi misibani.....
 
Back
Top Bottom