Kwanini Diamond Platnumz️ anatengwa na wadau kwenye ulimwengu wa muziki?

Wints

Member
Dec 31, 2022
30
45
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa Diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa Wasafi la sivyo huwezi sikia Diamond kawa invited kwenye event yeyote ile.

Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni Diamond Platnumz tu.

Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama Kiba, Ommy Dimpoz watavungiwa wakikosea.

Why is this?
 
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this

Huyo kiba kiburi ommy dharau

Sababu kuu amewaacha perefu sana na wanaona hakuna wakumpindua kwenyw game
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
 
46878B95-60E1-4C68-9C46-2384A9951025.jpeg

Mtoa thread ona hii.
Mbona matukio mengi jamaa anatokea huyu. Yawe ya clouds pale next door.
 
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this

Mimi nina amini Domo sio cheap,ndio maana media nyingi haziwezi kum afford.
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
Mjadala ungeishia hapa huyu jamaa hata kama humkubali utapenda tu kazi yake utake usitake!!
 
Kila mtu na mawazo yake, kwa upande wangu nikimuona mtu mwenye zarau, hata hawe vipi simshobokei, mtu kamzarau baba yake hawe mzazi au mlezi Ila kamlea kiaina, au vile alivyomfanyia zarau mabeto, na mtu mwenye zarau anaweza kumfanyia mtu yoyote yule kwa sababu ya pesa na ustar.
 
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe, sasa Kiba na Dimpoz kwa lipi wawe na haters.
 
Ni dhahiri sehemu pekee atakayoalikwa diamond ni ile inayohusu msanii mwingine wa wasafi la sivyo huwezi sikia diamond kawa invited kwenye event yeyote ile. Clouds,EFM na Tv nyingine hawapigi nyimbo zake. Wasanii hawamualiki kwenye event zao. Na ukikuta msanii anasemwa basi jua ni diamond platnumz tu. Akifanya kosa kidogo tu watamsema vibaya lakini wasanii wengine kama kiba ommy dimpoz watavungiwa wakikosea. Why is this
Nina nashaka kama akili zako ziko sawa
 
Ni wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.
Hii post imetoa majibu yote ya maswali ya mleta uzi.
 
Back
Top Bottom