kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,636
- 6,692
Thread ifungweNi wivu tu,ipo hv "people fear what they don't understand,hate what they can't conquer"
Diamond amebadilisha status quo ya game la muziki,wale walifikiri ndio wanastahili kuwa ma don wa game,hawaelewi imewezekana VP kijana wa Tandale ameweza kuwa music Mogul, tycoon wa bongofleva.
Billionaire wa music game!
Kijana ana pesa ndeefe,sasa wale waliokuwa wanaojiona wapo juu kstk industry kutokana na nafasi zao,ama watangazaji,au wamiriki wa vyombo vya habari,wamekuja kushituka kwamba mond haitaji kuwapigia magoti Ili kupata airtime,maana hata yeye anamiriki kituo Cha redio na tv,
Sasa hapo chuki inakuwa kubwa,wanaona wakimkaeibisha atazidi kuwa tajiri,lakini kumbe tayari ni tajiri,sasa hapo wanabski kwenye dilema.
Kingine,Mond dau lake kubwa,yeye ni brand,na Kuna bidhaa anazitangsza,sasa hawezi kwenda kwenye tukio linalodhaminiwa na bidhaa kinzani na ile anayoiwakilisha.